Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Wadau, kuna mshikaji kanitembezea N97, anasafiri na anahitaji pesa urgently. Simu ni mpya haina hata mwezi. Problem ninashindwa kun'gamua kirahisi kama ni original au ya kichina kwa kuwa label yake inaonyesha made in Hungary. Naweza kutambua kama hii simu ni genuine?

Angalia, kama ina WiFi hiyo itakuwa genuine, za China nasikia hazina WiFi, na pili zinaztotengenezwa hungary na Ulaya hazina selection ya ligha ya Kichina inakuwa na selection za lugha za ulaya.
Toa betri kwenye lebel utaona IMEI, Code , FCC Id etc.
Ikiwa haina code number basi achana nayo .Ni full Mchina
Una maana gani kusema lebo? Kuna stika na mandishi ya kuchimbiwa. Yeneye maandishi ya kuschimbiwa ni uhakika kuwa ni genuine. Ikiwa na lebo au hiyo stika ikimbie baba, haifai. Pia angalia na hiyo WiFi wadau wanavyoitikia.
bonyeza *#06# nokia genuine itaonyesha IMEI number yake.
bonyeza *#0000# nokia genuine itaonyesha ni aina gani i.e n97,n70....vilevile itaonyesha imetengenezwa lini na details nyingine.
Type *#92702689# angalia kama inaonyesha life timer, purchase date au warranty info. angalia spellings... nokia feki zinaandika vitu vya ajabu au haionyeshi kitu kabisa ukiweka hiyo code.
Wadau nawasshukuru kwa ushauri. In fact label inaonyesha Finland na sio Hungary. IMEI, Code , FCC Id, WLNA, IC zote zinaonekana ingawa label ni ya kubandika.Either of the two. Ya kuchimbia au stika . Inategemea imetengezwa nchi gani. Hata kama ni ya kuchimbia usipoona code number ni feki. Hiyo code number unaweza kuitumia kuhakiki cm yako kwenye website ya NOKIA. Kama haipo then what do you think? Nimehakiki yangu namna hii otherwise nikliuwa niingie mkenge mazima bro.
Toa betri kwenye lebel utaona IMEI, Code , FCC Id etc.
Ikiwa haina code number basi achana nayo .Ni full Mchina
bonyeza *#06# nokia genuine itaonyesha IMEI number yake.
bonyeza *#0000# nokia genuine itaonyesha ni aina gani i.e n97,n70....vilevile itaonyesha imetengenezwa lini na details nyingine.
Type *#92702689# angalia kama inaonyesha life timer, purchase date au warranty info. angalia spellings... nokia feki zinaandika vitu vya ajabu au haionyeshi kitu kabisa ukiweka hiyo code.
well ninayo yangu hapa made in finland,niliinunua siku nyingi sana kisha sikuipenda nikaituma bongo jamaa wakaishindwa bei wakatoa sababu kwamba ni ya mchina,iphone yangu imebuma juzi nikaifukua hii nokia n97,sasa ndio naitumia nimejaribu vyote hivi mmesema imeitika vizuri sana so nimejua ni genuine,na kama kuna mtu anataka anipm bei nimletee maana mie sijaipenda kabisa.Wadau nawasshukuru kwa ushauri. In fact label inaonyesha Finland na sio Hungary. IMEI, Code , FCC Id, WLNA, IC zote zinaonekana ingawa label ni ya kubandika.
Nikitype *#06# na *#0000# zote zinajibu vizuri. Kawaida IMEI inayoonekana kwenye label inatakiwa kuwa the same na ile unayopata ukitype #06# lakini iliyoko kwenye label ni tofauti na ile inayoonekana kwenye screen nikitype #06#.
Nimejaribu kutype *#92702689# na inaonyesha Lifetime: 00:00:07. Hiyo WIFI hata siioni. Bado inanichanganya.
Type *#92702689# angalia kama inaonyesha life timer, purchase date au warranty info. angalia spellings... nokia feki zinaandika vitu vya ajabu au haionyeshi kitu kabisa ukiweka hiyo code.
Nimeenda kwenye website ya Nokia hapo pa kuingiza code hata sipaoni!hiyo iko powa. Ukitaka kuconfrim nenda NOKIA site . tafuta type hiyo ya sm then pana mahali pa kuingiza code number itakupa majibu kwa uhakika zaidi. Ni vizuri kujua Wachina ni nomaaaa
Nimeenda kwenye website ya Nokia hapo pa kuingiza code hata sipaoni!