Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Wadau, kuna mshikaji kanitembezea N97, anasafiri na anahitaji pesa urgently. Simu ni mpya haina hata mwezi. Problem ninashindwa kun'gamua kirahisi kama ni original au ya kichina kwa kuwa label yake inaonyesha made in Hungary. Naweza kutambua kama hii simu ni genuine?