Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,596
- 18,416
Usipo sifia sahau nafasi za uteuzi, na kama umeteuliwa utatenguliwa mara moja.
Nchi zetu uadilifu unaotambulika ni wa kusifia tu .
Utasikia baba ndiye anaye tuletea maji.
Na sio Serikali.
Nchi zetu uadilifu unaotambulika ni wa kusifia tu .
Utasikia baba ndiye anaye tuletea maji.
Na sio Serikali.