nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,248
yani mmeshindwa kuona mkakati wa zitto hapa?hawa vijana ndani ya cdm wanataka kuwatoa watu kwenye harakati za m4c,hawa ni watu wa zitto without a doubt...cdm haifi kabla ya 2015 kamwambieni hivyo d.haifu aliyewatuma,..3 years to come unaanza kututangazia unataka urais..nyambaf,.yani kampeni za urais zimeanza?!!!!