Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Yani huyu jamaa....halafu eti ni mwalimu sijui hao watoto wanaofundishwa na huyu jamaa wanapitia wakati gani maskini
 
Kuna vitu mtu hutakiwi kujiumiza kuviwaza maana chances za kuwa Rais ukipiga hesabu ni ndogo sana maana hadi sasa kwa miaka 60 watu watano tu washapata hiyo nafasi
 
kwani lazima wote tujue kama umelewa mkuu kisandu....
 
Rais wa machizi au watu gani ebu fafanua mkuu.maana post zako zaonyesha unakaa wodi ya mirembe
 
Dah.... Deo ndoto zako zinahitaji uishi miaka 300 hivi..... Uwaziri Mkuu wewe... Urais wewe..... Kumuoa bint Obama wewe. .....Khaa!! [emoji13] [emoji13]
 
First lady atakuwa nani?? maana umezaa kila kona ya tanzania..
 
Huyu jamaa ni nani hapa Tanzania. Nimeona maandiko yake humu ndani mengi lakini pia inaonekana si mzima kichwani.


Mimi ni Mwalimu hapa Tanzania na ni Mtanzania pekee ambaye NImeisaidia Tanzania na Afrika kwa ujumla.
 
Samahani ndugu yangu Deogratius kisandu, hivi unatumia bia/soda gani?
 
ni ndoto za mchana... hata mimi nimewahi kuota ndoti mara nyingi niko kwenye baraza la mawaziri lakini sijawahi kua waziri hadi leo nimeshakua mzee. tofauti na kisandu mimi naota usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…