Mkuu wangu Mungi,
Mkuu wangu
Mungi
Nilitumia tu neno 'Sanga' just artistically. Ila kama ulivyosema, Taasisi hii iitwayo
TUNTEMEKE, imekuwa na matawi sehemu nyingi. Ikifadhiliwa na kuratibiwa shughuli zake na watu wenye mamlaka makubwa.
Bahati mbaya ni kwamba;
1. Taasisi hii inafanya mambo maovu na ina nia ya uovu kwa nchi na wananchi. Inazima harakati za ukombozi wa Mtanzania. Hivyo, haiwezi kufanikiwa
2. Jasusi wakw mkuu anayeipa taarifa na mikakati ni mtu asiye msomi au mwelewa wa mambo. Ndiyo maana kila wakiweka post, huweka post ya jumla jumla tu pasipo kuwa na ushahidi wowote wa moja kwa moja. Leo akisema kuwa
Molemo amefisadi kiwanja cha wazi pale Ubungo/Legho Sanaa wanapokulaga Kitimoto akina
Ben Saanane, tutakuwa hatujamtendea haki kwa kuwa yeye kama Molemo, hana hata nguvu na mamlaka ya kufisadi. Halafu usikie kuwa aliyefanikisha kugawa kiwanja ni Renatus Pamba, Diwani wa Sinza. Utastaajabu kabusa kwa kuwa ni maeneo mawili tofauti yenye usimamizi tofauti.
N.B.
Ngoja niendelee kulala bwana; maana Disco la jana pale 'Cave' limenichosha kweli kweli!