Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Mimi binafsi simuamini Kisandu kwani kadri ninavyomsoma kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii anavyoandika na ku comment dhidi ya uongozi wa Chadema taifa sitegemei kwamba anaweza kuwa tishio kwa ccm bali yeye ni kipenzi chao, ni gamba lililo ndani ya gwanda.
Labda mleta mada unataka kuhadaa watu kwakuwa mahali alikofikia Kisandu, akifukuzwa ndani ya chama ama kuvuliwa ukatibu wa Bavicha mkoa wa Tanga itakuwa ndio afya kwa ustawi wa chama mkoani Tanga.
Labda mleta mada unataka kuhadaa watu kwakuwa mahali alikofikia Kisandu, akifukuzwa ndani ya chama ama kuvuliwa ukatibu wa Bavicha mkoa wa Tanga itakuwa ndio afya kwa ustawi wa chama mkoani Tanga.