Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

Unajisumbua bure. Ccm kisiki cha mpingo itachukua jimbo hilo kama kawaida yake

Unapata wapi ujasiri wa kusema maneno haya ili hali wazee wako wakina Mangula wanahaha na roho za wanaCHADEMA na UKAWA sababu wanajua oktoba ndiyo mwisho wa mkataba wao.
 
Aamua kumwachia myika ubungo kwa lengo la kudumisha ukawa.Na hii ni sehemu ya taarifa yake kupitia ukurasa wa FACEBOOK.
NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA – DAR ES SALAAM.

Ndugu zangu, kesho Jumatatu 09 Machi 2015 saa 4.00 asubuhi, nitachukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Segerea kama ambavyo taratibu za ndani ya chama changu zinaruhusu. Hakutakuwa na mbwembwe vifijo wala nderemo kwa sababu bado hatutajajua kwa hapa Dar Es Salaam jimbo gani litaachwa kwa chama gani au ikiwa wagombea wa vyama vyote vya UKAWA watakutanishwa na kupigiwa kura ya maoni, vyovyote vile iwavyo niko tayari kukabiliana na demokrasia ya ndani ya chama changu na hata ndani ya UKAWA.

UKAWA NI MPANGO WA MUNGU
 
Noted hizi tab ndani ya daladala inabandika yenyewe neno hata kabla hujamaliza jamaa akipiga shimo, lakini umeelewa. Nimeuliza aina manake jamaa alikuwa naibu katibu wakampiga chini chamani sasa kimeongezeka nini ndio mpango mzima.
Haina=aina.
 
Julius Mtatiro
Nakuombea kila la kheri katika mchakato huo wa kuwania uteuzi ndani ya chama cha wananchi cuf.
Segerea ni kati ya majimbo Saba ya jiji la Dar es Salaam ambayo ninayapa asilimia 90 kuchukuliwa na UKAWA.
 
Last edited by a moderator:
Good.
You have my full support should UKAWA decide that you should carry their flag.
 
Jimbo la Mpendazoe hilo.

Yatakukuta yaleyale ya Ubungo, ulirukia jimbo ambalo Mnyika alikuwa kajipanga kwa muda mrefu, it's like hilo. Mpendazoe kajipanga muda mrefu na anafahamika na kasikia

Sasa wewe miezi 6 unataka jimbo?
 
Mpendazole wa CHADEMA Mbona Nasikia yupo fit zaidi Kulichukua Jimbo lake aliloporwa na wale Wakora wa upande wa pili wa Kutumia Mabavu na Tume isiyokuwa huru.
 
MUNGU awe nawe kamanda kwa maslahi ya watanzania wa jimbo unalotaka kuliongoza pale mjengoni kwa miaka hiyo mitano.
 
Ni vizuri, Mpendazoe nasikia anarudi kishapu kugombea ubunge, mm ni chadema damu damu, ila nakuunga mkono ugombee segerea kwa tiketi ya UKAWA.
 
Jimbo la Mpendazoe hilo.

Yatakukuta yaleyale ya Ubungo, ulirukia jimbo ambalo Mnyika alikuwa kajipanga kwa muda mrefu, it's like hilo. Mpendazoe kajipanga muda mrefu na anafahamika na kasikia

Sasa wewe miezi 6 unataka jimbo?

mpendazoe kakimbia kishapu na huku atakimbia tu punguwani wewe
 
Haya ndiyo mambo ua kujadili.....ni kijana bado na ni mpenda maendeleo.Anao ushawishi na anakubalika.UKAWA bila kumumunya maneno hii mashine itaongeza kasi bungeni.Mwingine wa kuingia UKAWA ni Esta Bulaya ninampenda sana...vizee above sixty pse get out of this Hon house.
 
Kwanini na wewe ni mnyiramba wa Ndago singida lakini bado upo segerea? Kwanini na wewe usiende kuishi kwenu singida mkuu?

Ndio maana sijatangaza kugombea ubunge, kuishi unaweza ishi popote lakini ubunge unatazama wapi kwepesi manake tarime mpaka unatoka ukoo gani ni sababu ya kuchaguliwa na uwezi sikia mzaramo anagombea Tarime au moshi ni Dar es Salaam tu ndio kuna fair play.
 
Changamoto za wananchi ni mengi sn je umeshiriki vipi kuzitatua au watu wanasubiri mpk upate uongozi ndiyo uzitatue
 
Back
Top Bottom