Nitafutieni kazi jamani watanzania wenzangu

Mage

Member
Sep 2, 2008
42
1
Naitwa Consolata ni msichana wa umri wa miaka 24,nina certificate ya forest kutoka chuo cha kimoja Moshi, nimetafuata kazi kwa mda wa mwaka sasa sijapata,ni kweli elimu yangu ni ndogo sana lakini ndo uwezo wangu ulipoishia kwa sababu nimejisomesha mwenyewe na wazazi wangu hawajiwezi,
Wanajamii nisaidieni nipate hata pa kuanzia vilevile sichagui kazi endapo ni ya halali.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
POLE SANA Conso, kweli inauma, lakini penye wengi pana mengi, nadhani kwa sababu kwa sasa hauchagui kazi ili mradi iwe halali basi natumaini umeingia sehemu muafaka na utapata shughuli tu
 
Usiianike phone number yako hapa naomba umtumie kwa Private message.
 
nakusaidia hivi dada yangu.

njoo, au andika barua kwa kampuni ya Greenresources limited ambayo ni kamuni mama ya saohill industries iko iringa mafinga. anuani ni 55 mafinga, au tuma email kwa mkurugenzi wa kampuni anaitwa sangito sumari ,email yake ni sangito.sumari@greenresources.no
njia nzuri ni kutuma email huyu MD atakusililza ni mtu mwelewa sana, wahi mapema.
mimi ni mwajiliwa kampuni hii kama IT Manager.email yangu ni maleges@yahoo.com
namab yangu ya simu ni 0756876634.website ya kampuni ni www.greenresources.no

fanya hivyo dada yangu
 
Mkuu heshima mbele,umemsaidia pakubwa sana,nyie greenresources ni jirani zangu kule ------. Hapa ajitahidi mwenyewe, Conso usisahau kumwomba Mungu na kumwombea Edson.
 
kampuni hii ni ya kimataifa na sasa wana miradi mingi kwa tanzania, uganda,zambia,sudan, na mozambiqe ambako ndiko shighuli nyingi zimeanzishwa, fungua hiyo website utajua mengi juu ya kampuni hii na shughuli zake www.greenresources.no
usichelewe sana kutuma maobi yako,
fata maelekezo niliyokupa, tuma leo weekend kesho atakushughulikia.
 
Mkuu Malila,
Heshima mbele. Bado nafanyia kazi ile idea ya misitu. Asante kwa updates kwenye email. Natambua mchango wako mkuu na moyo wako wa kuopen up opportunities kwa wengine.

Mkuu Edson,
I wish to pay a visit to your place nipate kujua zaidi ya mambo ya misitu.
 
karibu sana mkuu, sisi tupo kama kawaida na sasa tunazidi kuexpand, tunafunga kiwanda kipya cha kisasa (hew saw) ambacho ni computerised.
karibu sana mkuu
 
Mkuu Malila,
Heshima mbele. Bado nafanyia kazi ile idea ya misitu. Asante kwa updates kwenye email. Natambua mchango wako mkuu na moyo wako wa kuopen up opportunities kwa wengine.

Mkuu Edson,
I wish to pay a visit to your place nipate kujua zaidi ya mambo ya misitu.

Poa mkuu. Misitu inalipa sana. Sema tu mitaji inasumbua lakini ilitakiwa huyu dada tumpe mtaji ili aanze hizi shughuli kibnafsi. Nasema hivi kwa sababu kuna vijana wangu ambao wana-nursery za miche na wanasumbua sana sasa hivi ktk biashara hii ya misitu.
 
kampuni hii ni ya kimataifa na sasa wana miradi mingi kwa tanzania, uganda,zambia,sudan, na mozambiqe ambako ndiko shighuli nyingi zimeanzishwa, fungua hiyo website utajua mengi juu ya kampuni hii na shughuli zake www.greenresources.no
usichelewe sana kutuma maobi yako,
fata maelekezo niliyokupa, tuma leo weekend kesho atakushughulikia.

Andaa vizuri resume/cv yako na cover letter hasa kwa vile hii kampuni ni ya nje, unaweza tumia google kuangalia sample resume kwenye area yako. All the best.
 
Wewe ni Nyani kweli!!!
Mtu anatafuta kazi wewe unataka picha ya nini? Kwani kakwambia anatafuta rafiki wa kalamu????
Kama unatafuta mchumba basi Nyani tueleze na tutakusaidia pia!!!
poa nisaidie !!
 
Naitwa Consolata ni msichana wa umri wa miaka 24,nina certificate ya forest kutoka chuo cha kimoja Moshi, nimetafuata kazi kwa mda wa mwaka sasa sijapata,ni kweli elimu yangu ni ndogo sana lakini ndo uwezo wangu ulipoishia kwa sababu nimejisomesha mwenyewe na wazazi wangu hawajiwezi,
Wanajamii nisaidieni nipate hata pa kuanzia vilevile sichagui kazi endapo ni ya halali.
Natanguliza shukrani za dhati.

Huo ni moyo wa kishujaa dada. Hongera kwa ujasiri na pole kwa kujihangaikia maisha yako. Ni kweli unapokuwa na shida usiogope kuomba watu wakusaidie kutatua matatizo yako. Wengine wanaficha matatizo yao badala yake wanaishia kwenye kuambukizwa magonjwa, na ndio unakuwa mwisho wa ndoto zao. Pole sana Mungu amesikia kilio chako. Angalizo ni kuwa makini na masharti ya kutatuliwa shida zako. Watu kama hawa hapa chini hata wakikupa kazi bure jiulize mara tatu kabla hujakubaliana nao.

please your phone number ???

Weka picha yako kwanza.
 
Pole sana dada angu. JF ni community nzuri sana yenye kupenda kusaidiana, I hope hutatoka bure!

Niambie, line yako ni ya Tigo, Zain au Zantel etc .. ntakutumia air time kwenye PM, hope itakusaidia kwa mawasiliano zaidi katika tutafuta kazi.

Pia, nimeambatanisha hichi kitabu kinaitwa "Write a resume that generates results", hope kitakuwa msaada kwako na wana JF wengine kama kilivyonisaidia mimi hapo awali.

View attachment Write a resume that generates results.pdf

All the best
 
nakusaidia hivi dada yangu.

njoo, au andika barua kwa kampuni ya Greenresources limited ambayo ni kamuni mama ya saohill industries iko iringa mafinga. anuani ni 55 mafinga, au tuma email kwa mkurugenzi wa kampuni anaitwa sangito sumari ,email yake ni sangito.sumari@greenresources.no
njia nzuri ni kutuma email huyu MD atakusililza ni mtu mwelewa sana, wahi mapema.
mimi ni mwajiliwa kampuni hii kama IT Manager.email yangu ni maleges@yahoo.com
namab yangu ya simu ni 0756876634.website ya kampuni ni www.greenresources.no

fanya hivyo dada yangu

Mkuu ulirudi lini toka Oslo Norway??
isije ikawa changa la macho binti wa watu.
 
Back
Top Bottom