Nitafungaje FB, insta, na whatsapp zisitumike katika simu

Ngodaz

Senior Member
Mar 13, 2014
120
113
Wadau watoto wangu nikiacha simu tu sheeda utakuta wanatembelea mitandao yoote ya kijamii nahitaji anayejua kulock hiyo mitandao ktk simu sio kuweka password
 
Ziwepo ktk cm ila akizigusa hazi fanction
Tumia application inaitwa app lock ambapo itakupa chaguzi za kuchagua apps ambazo unataka uzifunge ambapo kuzitumia ni mpaka uingize nywila utakayokuwa umeiweka.
 
wachangiaji hawajaelewa....
mtoa mada unataka kufuta kabisa accounts zako za mitandao ya kijamii?????
kama alivyofanya Dr.mwaka
 
You can hide them.
just download a launcher i.e nova launcher...then hide the apps and disable notifications za hizo app..

ILA NI WATOTO KWELI...??? :D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Hamja nielewa wapi wadau mnipe solution
app hider ndio suluhisho kwa hicho unachotaka kufanya Google apphider apk sijui kama play store itakuwepo then install hiyo itaficha app unazozitaka na unaweza kutumia pale unapohitaji
 
kama una simu kuanzia android 6 eka user wawili, moja ya watoto ambayo watakuwa hawawezi kupiga simu wala kutuma msg na kuingia social network, user ya pili iwe yakwako ajili ya mambo yako, user hizi unaweza ziweka zisihitaji password na kubadili toka user moja hadi nyengine ni rahisi tu (kwako) na itakuwa ngumu kwao sababu hawajui.
 
Thenx broo
 
Hebu naomba somo juu ya hilo mkuu. Android 8.1 bro.

Thanks.
 
Wadau watoto wangu nikiacha simu tu sheeda utakuta wanatembelea mitandao yoote ya kijamii nahitaji anayejua kulock hiyo mitandao ktk simu sio kuweka password
Unaweza kuhificha au kizihide zisionekane kabisaa hata kama zipo kwaiyo ni ww tu
 
Back
Top Bottom