Nitafikisha Miaka Mitano Kama Memba wa JF

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,115
2,000
Katika wiki tatu zijazo nitakuwa nafikisha umri wa miaka mitano kama mwanachama hai wa JF. Nilijiunga rasmi tarehe 10 October 2006, na katika kipindi chote cha uanachama wangu wa JF, nimeshughudia JF ikipanda sana na kujitofautisha sana na forums na blogus nyingine nyingi kama kisima cha mawazo ya kina, na vile vile chanzo cha habari nyeti zinazohusu mstakhabali wa nchi yetu.

Naomba mnipongeze kwa persistence yangu ya kuendelea kuwa mwanachama HAI wa JF miaka yote hiyo wakati kuna memba wengi sana kama Nungwi, Tibwilitibwili na wengineo wengi waliokwisha toweka hapa.
 
Anheuser

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
1,947
1,225
Ulishamburuza Pius Msekwa mbele ya mahakama za Nebraska?

Au ni yale ya kupeana siku saba za kuombana misamaha halafu jiiii!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,843
2,000
Hongera sana Mkuu, miye ni mmoja wa wale wanaopenda michango yako ambayo imekuwa na kiwango cha juu kwa miaka yote tangu nilipoanza kusoma mabandiko yako mbali mbali.
 
Kakalende

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,255
1,225
Katika wiki tatu zijazo nitakuwa nafikisha umri wa miaka mitano kama mwanachama hai wa JF. Nilijiunga rasmi tarehe 10 October 2006, na katika kipindi chote cha uanachama wangu wa JF, nimeshughudia JF ikipanda sana na kujitofautisha sana na forums na blogus nyingine nyingi kama kisima cha mawazo ya kina, na vile vile chanzo cha habari nyeti zinazohusu mstakhabali wa nchi yetu.

Naomba mnipongeze kwa persistence yangu ya kuendelea kuwa mwanachama HAI wa JF miaka yote hiyo wakati kuna memba wengi sana kama Nungwi, Tibwilitibwili na wengineo wengi waliokwisha toweka hapa.

Hongera sana mkuu, na hii signature yako imekuwepo kwa kipindi chote hiki
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

Bila shaka wakongwe wengine waliokimbia jamvi kwa kushindwa kuhimili makali ya kampeni za 2010 watarudi tuendeleze libeneke. FMES Mzee wa dataz uko wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom