Nitaficha wapi uso wangu? Rais Kikwete ameniumbua

Nitaficha wapi uso wangu? Rais Kikwete ameniumbua

Huyu Mzee amechoka. Wananchi wake wanakimbia kila siku Afrika Kusini kuomba ukimbizi. Watu wanakufa na njaa. Ardhi aliyowapokonya wazungu nyingi kawapa ndugu na rafiki zake. Sasa Zimbabwe inaagiza chakula badala ya kuuza kama zamani. Hataki wapinzani. Tutafute kiongozi mwingine lakini sio huyu Dikteta. Ni mtesaji wa wananchi wake.



South Africa is sending back more than 4,000 Zimbabweans every week, up more than 40 per cent from 2006.

it is widely estimated that 3.4 million Zimbabweans - a quarter of the population - have now fled.

Christopher is one of the border jumpers. 'People are leaving Zimbabwe because the government is not looking after the people - it's against the people, it's beating people, it's shooting people,' he says. 'There's no law in Zimbabwe. The law is for the President, he works for himself with the police and army only. That's why people are running away from Zimbabwe.

View attachment 224539

View attachment 224540

View attachment 224541

View attachment 224544

View attachment 224545

Zimbabwe President Robert Mugabe's controversial land reforms have cost the country $12 billion in lost agricultural production.

In the early 2000s, Mugabe began seizing white-owned farms and land in an attempt to reverse colonial-era inequalities. The plan was to re-settle the land with black farmers, and to ensure that no one owns more than one property.

However, according to the Commercial Farmers' Union of Zimbabwe (CFU), Mugabe and his extended family now own 39 farms themselves.

"Land that has been allocated to the people is lent under a system of political patronage. The continued use and occupation of the land is dependent on their political affiliation and loyalty," said CFU head Deon Theron in his report on the program.

"There is no genuine empowerment or farmer autonomy, there is no security of tenure and there is no collateral value attached to the land. It is a dead asset, which cannot drive its own development."

What's more, Theron says that the farm reforms have dropped agricultural production by 70 percent. Prior to the "land invasions," Zimbabwe's farming industry produced 4.3 million metric tons per year, worth about $3.5 billion. But in 2009, the country only produced 1.4 million metric tons, worth around $1 billion.

Sources: ibtimes.com,theguardian.com.
oooh basi sina knowladge.samahani mkuu
 
Uislam haukuletwa, umekuja.

Hayo unayojifundisha wewe leo usingeyajuwa sama na Waarabu hata herufi unazotumia zinaitwa Alphabets - Aliph Be Te

Waarabu wamekupa lugha tamu ya Kiswahili, dogo hilo?

FaizaFoxy sijui nani kakuloga
 
Pole ticha. PhD holder keshazungumza hapo. Ndo basi tena.
 
hivi waarabu walituletea nn? maana na wao wakija watapambwa na Le prof....

Amekuletea ndege Emirates, Qatar na Oman Air kwa bei nafuu. Kila siku zimejaa kuwasafirisha kwao kununua vitu kwetu hanma.
 
==> English....english....👎👎

Did he said tht...!? 👉 wrong phraseology....❌❌

Did he say tht...!? 👉 right one....!!!

Tenses, questions tags, go & do detail revision...!!!






Did he said that!!! Maana huwa sisikilizagi hotuba zake. Alisema kwa ki- english au kwa kiswahili au kijerumani? Nahisi kuna shida hapa. Kwamba anawapongeza wakoloni kwa kututawala na kutuletea maendeleo! Kwa hiyo ndo maana kila siku yuko angani anatutafutia hawa wakoloni warudi kututawala ili watuletee maendeleo zaidi? Kwamba akina Nyerere na wenzake walifanya mapema sana harakati za kutafuta uhuru ili tuweze kujitegemea wenyewe? Kwamba Wa-Tz hatuwezi bila kuwezeshwa na wakoloni?
 
Nawe hujui neno la mwl.akiwa darasani lina nguvu kuliko la raisi.ukitaka kujua kamwambie tu mwanao moja jumlisha moja ni tatu,atakuambia unamdanganya.
Wanafunzi wako wanajua rais kasema uongo
 
Wakati fulani tuseme na ukweli, wajerumani walitukuta hatuna hata nguo, tunauzwa sokoni kama mbuzi, je hilo jengo la ikulu kajenga nani kama sio wajerumani, reli ya kati kajenga nani kama sio wajerumani.ukweli mazuri ya wajerumani kwa miaka 35 waliyokaa hayawezi kulinganishwa na ya kwetu.
Wewe unajua ikulu inatengewa kiasi gani kila mwaka zikiwa ni fedha za ukarabati. Kwa miaka 6 iliyopita hizo fedha zingetosha kabisa kutengeneza ikulu nzuri na ya kisasa. Wakoloni walituibia tu
 
Back
Top Bottom