Nitaficha wapi uso wangu? Rais Kikwete ameniumbua

Tokyo40 na Rene Jr. embu kuja this wei...Kuna mmoja ni mzungu hapa na mwingine Mwafrika, ngoja nianze na Mzungu Tokyo40...habari yako, hii ni Afrika na hapa ni Tanzania,tulishapata uhuru zamani wakati mkitutawala iliitwa Tanganyika, jisikie huru!

kwan hapa nan kashinda ni huyu mkoloni wa kijapani au uyu mzalendo wa kiteto
 
mhhhhhh ahh[1].jpg
 
Mkuu sioni unchoogopa kila utawala una mazuri na mabaya yake. Wewe unavyoamini syllabus yako inaonyesha mabaya tu au kuna faida zake pia. Historia niliyosoma niliambiwa walitunyonya, walitutesa, walitudhalilisha yes but walitupa pia mwanya wa kujua nini maana ya kuwa na uhuru. Mungu bila shetani uthamani wake ungepungua na uhuru bila mateso yawezekana wasingekuwa tayari kushirikiana na mwalimu na jopo lake.
 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Profesa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru serikali ya Ujerumani kwa kututawala na kutuletea maendeleo wakati wa ukoloni.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Ikulu jana, Rais Kikwete alimuambia Rais wa Ujerumani kwamba wakati wanatutawala walitufanyia mambo mengi sana mazuri ikiwemo kutujengea jengo la ikulu ambalo tunalitumia hadi sasa.

Rais ameniumbua. Sijui nitaficha wapi uso wangu.

Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikiwafundisha wanafunzi wangu Historia nikiwaaminisha kwamba wakoloni hawakuwa na nia njema. Nimekua nikiwaambia wanafunzi wangu kuwa wakoloni walikuwa wakitunyonya, kutukandamiza na kutudhalilisha sana.

Niliwaambia hata elimu waliyoitoa na miundombinu waliyojenga ilikuwa ya kuendeleza unyonyaji.

Niliwaambia wanafunzi wangu kuwa watu waliowapinga ukoloni na kuwapiga vita kama kina Mkwawa, Mangi Meli, Mtemi Isike na Chifu Kimweri ndio mashujaa wetu. Niliwasema vibaya sana wakoloni huku nikitumia vitabu vya kina Walter Rodney kama “HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA” katika kujenga hoja. Pia nilitumia sehemu ya nukuu za “The Dar es salaam School of thought” kuaminisha wanafunzi wangu kwamba wakoloni walikuwa watu makatili na wasiotufaa.

Leo rais kaniumbua. Kawaambia Watanzania kuwa Wakoloni walikuwa watu wema sana na waliotuletea maendeleo. Rais akafika mbali zaidi na kukiri bila Ujerumani kututawala tusingekuwa na Ikulu ya Dar es Salaam.

Sasa najiuliza kama wanafunzi wangu wamemsikiliza Rais Kikwete nitakoma maana nitaumbuka. Na kama wamemsikiliza Lazima watamuamini kwa sababu Rais wetu ni Profesa.!!

Kwa heshima ya Malisa Godlisten naomba kushirikisha hii simanzi!

Mungu wangu hivi ni kweli nanihii aliyasema hayo mbona sikusikia jamani,kweli ni aibu,aibu tupu
 
Kwanini unabishana na mjukuu wa Mkoloni? Unataka adhani weusi tuna donge? Hujambo lakini? Vipi utahudhuria Birthdate ya The One and only Presidaa Mugabe akibeba ndoo ya 92! Jamani huyu Rais huyu, Munguamjaalie miaka hata 200 hata Afrika yote iwe huru...Yes,iwe huru!

Wa afya tele, hofu kwako ndugu, familia haijambo? hakika nitahudhuria birthday ya mkongwe huyu, ndiye Rais pekee huru aliyebaki Afrika, ntahudhuria hata kwa TV mkuu. Mungu aendelee kumjaalia afya njema na maisha marefu.
 
Nipigie...namba yangu ni Zero seven Five five....daaa kumbe nimeandika kikoloni,nitaandika namba yangu kesho kiafrika...samahani mkuu!
 
Hakusema alitutawala vizuri. Alitaja baadhi ya mambo mazuri yaliyofanywa na mkoloni yule ikiwemo ujenzi wa reli. Halafu, Mjerumani yule, Carl Peters, sio huyu Gauck aliyetutembelea juzi.

Ni kweli tulifundishwa ubaya wa ukoloni lakini tuliambiwa na mazuri pia waliofanya. Tusijisahaulishe. Historia huwa haifutiki au kuandikwa upya.

Sasa Gauck ndiye aliyejenga reli??
 
Wewe ni mwalimu gani unasikia vingine unaelewa vingine.we mwalimu bogus kabisa
 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Profesa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru serikali ya Ujerumani kwa kututawala na kutuletea maendeleo wakati wa ukoloni.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Ikulu jana, Rais Kikwete alimuambia Rais wa Ujerumani kwamba wakati wanatutawala walitufanyia mambo mengi sana mazuri ikiwemo kutujengea jengo la ikulu ambalo tunalitumia hadi sasa.

Rais ameniumbua. Sijui nitaficha wapi uso wangu.

Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikiwafundisha wanafunzi wangu Historia nikiwaaminisha kwamba wakoloni hawakuwa na nia njema. Nimekua nikiwaambia wanafunzi wangu kuwa wakoloni walikuwa wakitunyonya, kutukandamiza na kutudhalilisha sana.

Niliwaambia hata elimu waliyoitoa na miundombinu waliyojenga ilikuwa ya kuendeleza unyonyaji.

Niliwaambia wanafunzi wangu kuwa watu waliowapinga ukoloni na kuwapiga vita kama kina Mkwawa, Mangi Meli, Mtemi Isike na Chifu Kimweri ndio mashujaa wetu. Niliwasema vibaya sana wakoloni huku nikitumia vitabu vya kina Walter Rodney kama “HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA” katika kujenga hoja. Pia nilitumia sehemu ya nukuu za “The Dar es salaam School of thought” kuaminisha wanafunzi wangu kwamba wakoloni walikuwa watu makatili na wasiotufaa.

Leo rais kaniumbua. Kawaambia Watanzania kuwa Wakoloni walikuwa watu wema sana na waliotuletea maendeleo. Rais akafika mbali zaidi na kukiri bila Ujerumani kututawala tusingekuwa na Ikulu ya Dar es Salaam.

Sasa najiuliza kama wanafunzi wangu wamemsikiliza Rais Kikwete nitakoma maana nitaumbuka. Na kama wamemsikiliza Lazima watamuamini kwa sababu Rais wetu ni Profesa.!!

Kwa heshima ya Malisa Godlisten naomba kushirikisha hii simanzi!
Kimsingi mkoloni hakuwa Mjerumani tu....! Bali hata Waingereza, Wareno waliwahi kutawala Tanzania.....! Ila cha kumshuru Mungu; nasema Mungu kwa sababu mkoloni Mjerumani asingukuja Afrika, na hasaTanzania binafsi sipati picha hali ingekuwaje....!

Kumbuka Mkoloni huyuhuyu (Mjerumani) ndiye aliyeitisha ule mkutano wa Berlin! Mkutano ambao lengo lake kuu lilikuwa ni kuhalalisha kati ya koloni moja na nyingine barani Afrika. Na kwa sababu hiyo Mjerumani alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwenye mkutano huo, na aliitumia fursa hiyo kutengeneza mipaka ya Tanzania ambayo ndio mipaka yake hadi leo hii...!

Je, ulipata hata siku moja kujiuliza kuwa ni kwanini mipaka ya Tanzania imepita mahali husika? Pale ilipopinda, ilipinda kufuata nini? Na ni kwa maslahi ya nani baina ya Tanzania na jirani yake? Mfano: ukichukua mpaka kati ya Tanzania na Kenya kutokea Bahari ya Hindi, bila shaka ungenyoosha kuelekea Magharibi huenda Mikoa yote ya Kilimanjaro, Arusha, Mara, Mwanza, Simiyu, Geita, na Kagera yasingekuwa ya Tanzania, pamoja na utajiri wote unaopatikana katika maeneo hayo....! Kwanini ukifuata mpaka huo hupinda unapokaribia mlima Kilimanjaro? Mbona visiwa vingi vya ziwa Viktoria viko Tanzania? Ni kwa nini Mpaka wa Tanzania baada ya Tunduma imepinda kuelekea ziwa Nyasa?

Bila shaka ukijaribu kuwa "fair" na ukajaribu kufuatilia mipaka ya Tanzania, kila ilipopinda, utadhani mipaka hiyoilikuwa ikiwekwa na Mtanzania pekeyake bila kuingiliwa na yeyote. Na hii yote ni kazi ya Mjerumani.....!

Ila kama tuliweza kuwadai Uganda fidia dhidi ya madhara ya vita vya Kagera, kwa nini tusiwdai na waliowahi kututawala bila mafanikio?
 
Ngoja kin nanihii waalize m wao, tupime chotuletea dhidi ya walichotuletea Wakoloni aafu tuone
 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Profesa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru serikali ya Ujerumani kwa kututawala na kutuletea maendeleo wakati wa ukoloni.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Ikulu jana, Rais Kikwete alimuambia Rais wa Ujerumani kwamba wakati wanatutawala walitufanyia mambo mengi sana mazuri ikiwemo kutujengea jengo la ikulu ambalo tunalitumia hadi sasa.

Rais ameniumbua. Sijui nitaficha wapi uso wangu.

Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikiwafundisha wanafunzi wangu Historia nikiwaaminisha kwamba wakoloni hawakuwa na nia njema. Nimekua nikiwaambia wanafunzi wangu kuwa wakoloni walikuwa wakitunyonya, kutukandamiza na kutudhalilisha sana.

Niliwaambia hata elimu waliyoitoa na miundombinu waliyojenga ilikuwa ya kuendeleza unyonyaji.

Niliwaambia wanafunzi wangu kuwa watu waliowapinga ukoloni na kuwapiga vita kama kina Mkwawa, Mangi Meli, Mtemi Isike na Chifu Kimweri ndio mashujaa wetu. Niliwasema vibaya sana wakoloni huku nikitumia vitabu vya kina Walter Rodney kama “HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA” katika kujenga hoja. Pia nilitumia sehemu ya nukuu za “The Dar es salaam School of thought” kuaminisha wanafunzi wangu kwamba wakoloni walikuwa watu makatili na wasiotufaa.

Leo rais kaniumbua. Kawaambia Watanzania kuwa Wakoloni walikuwa watu wema sana na waliotuletea maendeleo. Rais akafika mbali zaidi na kukiri bila Ujerumani kututawala tusingekuwa na Ikulu ya Dar es Salaam.

Sasa najiuliza kama wanafunzi wangu wamemsikiliza Rais Kikwete nitakoma maana nitaumbuka. Na kama wamemsikiliza Lazima watamuamini kwa sababu Rais wetu ni Profesa.!!

Kwa heshima ya Malisa Godlisten naomba kushirikisha hii simanzi!

Du! kweli unafiki utakufikisha pabaya kama kweli wewe ni mwalimu na umeshindwa kuelewa mazunguzo tu ya watu wa wili je utaielewa histiria iliyoko kwenye vitabu,acha kuwazalilisha walimu wetu tunaowaamini katika maendeleo ya elimu yetu.
 
Kuelewa nako ni kipaji! Pole sana kwa kukosa kipaji hicho!
 
Unajifanya haujuwi njaa ya Zimbabwe imeletwa na nani? Haujawahi kujiuliza kwa nini wakulima wa Ruvuma na Rukwa tu wanaotumia jembe la mkono wanazalisha mahindi ya kulisha nchi tatu na kusaza? Mugabe ameanza lini kung'ang'ania madaraka, miaka ya 2000? Haujiulizi ni kwa nini kuwa madarakani kwa muda mrefu Mugabe hakukuwa issue, hakukuwa kung'ang'ania madaraka mpaka alipoanza timuatimua kwa wavamizi mwaka 2002? Inamaana kabla ya hapo alikuwa shujaa, katimua wavamizi tu aondoke madarakani...loh! Wewe una hasira na Mugabe juu ya udikteta? Magharibi haina hasira juu ya Mugabe kwa sababu ya udikteta ndugu yangu rejea nyuma mzizi wa fitna ulikoanzia.

Unajitia haufaham weupe walipataje ardhi Zimbabwe? Sitaki kuamini kuwa hauijui Land Apportionment Act ya 1930. Hebu vuta picha leo hii hapa Tanzania waje Wakoloni watunyang'anye ardhi, yaani wavamizi ambao ni asilimia moja tu ya population wamiliki asilimia SABINI ya ardhi, halafu wenye nchi wahamishiwe shinyanga, singida, na dodoma kwenye ardhi isiyo rutuba na ukame!! Watu hawa walivumilia hayo, walivumilia mifugo yao kuibwa na kuuwawa. Lakini kumbuka uvumilivu una mwisho wake. Kumbuka Mugabe alikubali masharti ya uhuru, kununua ardhi kutoka kwa setlers ambao wataona kichefuchefu kuendelea kukaa Zimbabwe chini ya utawala mweusi (nikunyang'anye kitu kisha nikuuzie, geez!). Hauwezi kujua kilichotokea kwa sababu habari zako zote unaskiza BBC, lakini wacha nikwambie; London haikuishi ahadi yake ya kutoa "ruzuku" kwa serikali ya Zimbabwe, hivyo haikuwa na pesa za kutosha kununua ardhi kutoka kwa wezi wale na kuirejesha kwa wenye nayo, na pia wezi wale hawakuwa na nia ya kuuza kwa sababu walishahakikishiwa "ulinzi" kutoka London! Hivyo wenye ardhi yao walibaki kupiga miayo na kuwa vibaraka wa wakulima wavamizi.

Ilikuwaje mpaka hawa kondoo wa kiafrika wakageuka kuwa chui? Rejea ukame uliokumba Zimbabwe 1990-93, mjusi akawa amebanwa kwenye kona hana pa kutokea, wenye nchi wakamwambia Mugabe wanataka ardhi yao, ardhi halali ya babu zao, ardhi yenye rutba iliyotwaliwa na Mabeberu, wanaitaka mara moja bila masharti yoyote kwa sababu ni yao. Kuanzia hapo nadhani unaelewa kilichoendelea, kilichomgombanisha Mugabe na rafiki zake wakubwa wa London ni MAAMUZI MAGUMU, hizo unazobania pua wewe ni matokeo ya propaganda za Magharibi kwenye vijiwe vyao vya kahawa maarufu kwa vifupisho kama BBC, CNN nk.

Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds.
-Robert Nesta

Robert Mugabe has ruled Zimbabwe since independence in 1980
Zimbabwe's President Robert Mugabe has admitted failures in the country's controversial land reform programme.

"I think the farms we gave to people are too large. They can't manage them," the 91-year-old leader said in unusually candid comments.
In the past he has tended to blame poor agricultural productivity on the weather and Western sanctions.

The seizure of land from white farmers is seen as a key factor in Zimbabwe's economic meltdown since 2000.

The BBC's Brian Hungwe in the capital, Harare, says it is not the first time President Mugabe has criticised new black farmers - but his comments are surprisingly frank.

They point to continuous problems in accounting for low production levels and the under-utilisation of farms, which reflect badly thought-out land policies, he says.

He said he wanted to encourage farmers to go into wheat farming, and blamed low productivity on the new commercial farmers for failing to utilise all their land.

"You find that most of them are just using one third of the land," Zimbabwe's state-owned Herald newspaper quotes him as saying.
During the colonial era, the best farmland was reserved for the white population and in 2000, Mr Mugabe spearheaded the seizure the land from some 4,000 white farmers.
His critics say the land was handed out to his political allies and many of the beneficiaries were not given the equipment or training to farm productively, leading to the collapse of the agriculture-based economy.

Soma hapo juu Mugabe kakubali mwenyewe kafanya makosa kuwapa ardhi kubwa wakulima masikini na kufanya uchumi kushuka.
Mkuu Rene Jr. Kuna mwingine utamlaumu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom