kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,299
- 6,102
Hello bosses and roses...
Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa.
Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za nyuma yake, moments hizo huhusisha gharama kama vile kuhonga, usafiri, hata gharama ya muda pia.
Hizo moments na gharama zote (za kifedha na muda) ndio chanzo kikubwa cha hio hali mbaya unayojisikia, nitaelezea hapa chini...
Pale tu ukimaliza kuzini na ukafurahia jambo hilo kwa dkk chache kinachofuata ni majuto (regrets) regrets huwa kubwa kulingana na kwanza gharama, muda na risk ulizochukua ili kupata starehe ya dkk kadhaa, pili uwezo wako wa kuhandle loss, kuna mwingine loss ya 100k sio issue ila mwingine akipoteza 20k atalia siku 2.
Katika ubongo wa binadamu, hakuna sumu kubwa kama majuto (regrets), majuto yamefanya watu wajiue, watu wawe machizi, etc....
Sasa yale majuto ya kuzini na ile hali ya kupoteza (loss) inakuja kuathiri ubongo na kuzuia utoaji wa kemikali muhimu za kuendesha hisia, hapo ndipo mwili nao una-react unaanza kujihisi mchovu, huna hamu ya chochote kile.
Kama bado haukubaliani na mm jiulize kwa nini kama ulizini kwa maandalizi (kuhonga, kusafiri kufuata mwanamke/mwanaume, etc...) ndipo huwa unajisikia vibaya hivyo ila zile za kimasikhara tu yaan paa mmeingia kingi bila kutegemea (muulize rikiboy ) mara nyingi haziji na hio effect ya kujisikia "vibaya"
Na pia wale wanaozini kila siku ila ni wamekubaliana kuishi wote bila ndoa nao huwa hawa hawapati hio hali ya kujisikia vibaya bali utasikia "Cha asbh kinachangamsha" sababu yeye kupata hio hawekezi saana kama yule wa kuhonga.
So tiba yake ni nini? Tiba yake ni kati ya haya:-
1) kuacha kuhonga na kuzini
2) Kama 1 imekushinda basi ondoa kabisa hisia ya majuto baada ya kuzini, ikija tu ji-distract ufanye kitu kingine, mfano kwa huyu alieweka uzi anasema siku ya nne sasa anajisikia vibaya dawa yake tu ni kuacha kujutia, akiacha kujutia ubongo unajireset na kuendelea kawaida
3)Pia kama 1 na 2 huziwezi basi oa, au ishi na mwenza wako hio itakupa fursa ya wewe kupata tendo bila kuwekeza sana, hivyo kupunguza majuto baada ya tendo.
Learn or suffer......
~ kali linux