Nitadownload wapi wimbo wa mafumu bilali - maya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitadownload wapi wimbo wa mafumu bilali - maya?

Discussion in 'Entertainment' started by Sumu, Jan 25, 2011.

 1. S

  Sumu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Waheshimiwa naombeni mtu mwenye link ya kudownload huu wimbo. Naupenda sana.
   
 2. l

  leonku Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  mmHH okay since jamaa kapata wake na mimi naomba mcheki kama Tapata Mr II Ft GWM Yamenikuta Mzee Mwenzangu
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sumu,

  Muwe mnajaribu Ku-Google kwenye Internet jamani.

  Mbona huu umeshajadiliwa sana na kuwekwa LINK zake hapa JF?

  Hebu angalia hapa kwenye ukurasa:

  https://www.jamiiforums.com/sports-and-entertainment-forum/35921-wimbo-wa-maya-by-mafumu-bilali.html

  Mie sikuzote nabaki mpenzi wa Maya Original ya Simaro Lutumba Masiya wa TP OK JAZZ ambao mwanzo uliimbwa na Carlito Lassa (siku hizi kawa Mpendwa) na baadaye wakaja kuuimba na Pepe Kalle. Zote ni poa sana ila huu wa Kiswahili walau unaweza kujua maana yake ingawa maana yake nafikiri imebadilishwa maana kwenye Maya Original analalamika:
  "Maya kaondoka na jamaa atakata ticket ili kumfuata ...... watu wa Kinshasa wabaya sana, mtu akifa wao wanacheka....."
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...