Kwani uongo?Oh yeah?
Hiyo ni salama kabisa..sperm fertility haiathiliwi na chochote ata ukiwa unapiga kila cku mara moja..endeleza tu kuliko ukadantie malaya.habari za wakati huu wanajf!!!
Niende direct kwenye Mada, kutokana sababu mbalimbali nimekuwa nikipiga punyeto mara moja kila baada ya miezi mitatu!
Je itaadhiri chochote katika swala zima la afya?
vipi sperm fertility itaendelea kuwa normal?
Natumai nitapata ushauri wa kiwango cha juu toka kwenu wanajf.
NB:Nipo serious katika hili, ushauri wa kujenga utanifurahisha, ila kejeli na matusi kweli itanifanya nijisikie vibaya
Kwani uongo?
Afu hatopata madhara makubwa.Mara moja moja sio mbaya.
Hapana.We ni mdau wa punyeto?
Hapana.
Wewe mnusuru mwenzio kama badoBora upige punyeto mwayego kuliko kuji expose kwa magonjwa

Mimi mwenyewe manusura...Wewe mnusuru mwenzio kama bado![]()
Kwani uongo?
Afu hatopata madhara makubwa.Mara moja moja sio mbaya.
punyeto ni dhambiPunyeto kwa miezi miezi mitatu haina madhara.
Punyeto ya kila siku au baada ya siku mbili ,haina madhara yapapo kwapapo ila Madhara utayaona baadae..
Sema nn ,, kwasababu umeamua ivo kutokana nasababu zako maybe ili kufikia malengo yako .
Basi niweze kukuambia Haina madhara endapo unafanya km ulivyoainisha hapo,, ila km nidaily duuuhhh jiandae kua wauume ulosimama legelege,, huwezi kurudia tendo .
HAPANA.Naww unajichuaga?!
Me nakushauri uachanenao huo mchezo.. Licha ya kuleta madhara, pia ni dhambi(uzinzi) kwa muumba wako...ni mara moja kwa miezi 3 kama nilivyoainisha hapo juu
ngono pia ni dhambiBora upige punyeto mwayego kuliko kuji expose kwa magonjwa
Ndo mnusuriane muache mambo ya NY...OMimi mwenyewe manusura...
Basi sawa...kwa hiyo akishikwa ugwadu ni bora akamate yeyote anayekuja mbele yake au ajiue ili asitende dhambi?ngono pia ni dhambi
dhambi ya uzinzi malipo yake ni magonjwa
dhambi ya punyeto nadhani side effect zinajulikana kuna nyuzi mbali mbali humu watu wakilalamika juu ya NYETO