ni mara moja kwa miezi 3 kama nilivyoainisha hapo juu
Jaribu kupiga mara nne kwa week itapendeza zaidi!habari za wakati huu wanajf!!!
Niende direct kwenye Mada, kutokana sababu mbalimbali nimekuwa nikipiga punyeto mara moja kila baada ya miezi mitatu!
Je itaadhiri chochote katika swala zima la afya?
vipi sperm fertility itaendelea kuwa normal?
Natumai nitapata ushauri wa kiwango cha juu toka kwenu wanajf.
NB:Nipo serious katika hili, ushauri wa kujenga utanifurahisha, ila kejeli na matusi kweli itanifanya nijisikie vibaya
Za kwako ndo hazikutoshi ndo maana unajichua!akili zako hazikutoshi wewe
Unatumiaga nnsina utaratibu wa kutumia sabuni
sijawahi kutumia sabuni
sina utaratibu wa kutumia sabuni
sijawahi kutumia sabuni