Niache 2
Member
- Aug 7, 2017
- 69
- 34
Habari za wakati huu wana JF,
Niende direct kwenye mada, kutokana sababu mbalimbali nimekuwa nikipiga punyeto mara moja kila baada ya miezi mitatu.
Je itaadhiri chochote katika swala zima la afya?
Vipi sperm fertility itaendelea kuwa normal?
Natumai nitapata ushauri wa kiwango cha juu toka kwenu wana JF.
NB: Nipo serious katika hili, ushauri wa kujenga utanifurahisha, ila kejeli na matusi kweli itanifanya nijisikie vibaya.