GE2025 Nitaandamana nikifa Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume

GE2025 Nitaandamana nikifa Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Mimi Ni kijana wa miaka 30 na Ni baba wa mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 4

Tarehe 29 nitatoka kuandamana na kisu changu Cha kimasai na elementi kichwani

Nawaambia ndugu na marafiki wa karibu Kama sitarudi Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume ili kizazi chake kije kuishi vizuri.

Ila pia natoa angalizo kwa mtu yeyote atakayejipanga kunidhuru kwamba tutakufa pamoja naye.

Na nikipona Samia akabaki nitaamisha familia yangu niende kuishi nje kabisa ya nchi.

I'm really tired to live in this fucking state!!
 
Back
Top Bottom