NIT: Walitoa kazi, je walishaita coz SIJAPATA UPDATES

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,193
515
Wadau kuna kazi zilitolewa na hawa NIT (National Institute of Transport) ila hadi leo ni kimyaaaaaaaaa na nimepata taarifa kutoka ndani pale ni kua wako katika mchakato wa KUCHAKACHUA.

TUFANYEJE?
 
Kama hujaitwa kwenye usaili sijui udahili kalagabaho,watu walifanya usaili au sijui udahili kama mwezi mmoja uliopita so kwa sasa watakuwa wanaita watu kufanya kazi ndugu yangu.Lakini usife moyo kaza boot maana in God we trust na kama hukufanikiwa jua nafasi haikuwa yako maana yako ipo tu hata waende kwa karimanzira riziki yako ipo pale pale cha mhimu usichoke kupambana
 
Hii ya kuchakachua nimeitoa kwa mtu wa ndani aise, kweli ukistaajab ya Musa utakufa na ya Tanzania
 
kuchakachua kama kawa toka kwenye siasa mpaka huku na hata daktari atamchakachua mgonjwa,,eeeee Mungu tusaidie wanao tunateseka
 
Wadau kuna kazi zilitolewa na hawa NIT (National Institute of Transport) ila hadi leo ni kimyaaaaaaaaa na nimepata taarifa kutoka ndani pale ni kua wako katika mchakato wa KUCHAKACHUA.

TUFANYEJE?

kwa taarifa za uhakika nilizozipata jana ni kwamba interview walishafanya siku nyingi sana na hawakuita mtu yeyote aliyeomba wasiyemjua(wameita watu wao wa mle mle ndani) na kilichotokea utumishi wamewaagiza tangazo lazima lipitie kwao coz awali walipolitoa halikupitia kwao.kwa maana hiyo hata hao walioitwa kwenye interview hawajaanza kazi mpaka sasa.kwa hiyo endelea kumwomba Mungu watoe tangazo lingine litakalopita utumishi.binafsi sijaelewa mpaka sasa kwa nini vyuo vingine vya serikali matangazo yake ya kazi hayapiti utumishi,huku vyuo vingine vikitangaza pasipo kupitia utumishi wanakataliwa.
 
Asante kwa update mkuu, kama walitaka kuita watu wao ni heri wangetangaza kama INTERNAL POSITIONS na sio kututoa roho na kumaliza hela za kupost na pia muda. Ila yatafahamika tu.
 
Back
Top Bottom