rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Nimeipenda sana hyo namba mbili. Next year
Ha ha a et jaribu tena next year
Nimeipenda sana hyo namba mbili. Next year
Aisee hii haina tofauti na datastar college...mdog wang amekuwa akihangaika kutafuta chuo kuwa kachaguliwa wapi..juzi ikabidi niende apo chuoni nikakuta kwenye mbao za matangazo majina ya wanafunzi walochaguliwa..swali ni kwamba wameshindwa vipi ku upload hayo majina kwa website yao?.wameshindwa ku maintain?au sijui nini???....hiiii ni shida kwa kweli..
Lakini huu urasimu tcu wameutaka wenyew ilikuwa haina haja kusubiri confirmation kutoka chuo walichokupanga
ww ni kichwa maji...soma vizuri hiyo comment.chuo gani cha serikali unachokijua ww wanatoa engineering diploma ya miaka 2 kwa waliofeli form 6 tofauti na hao nit?Kigezo cha mtu kuchaguliwa diploma unakijua?
Ni cheti cha form four
Sasa mjomba unaongea bila DATA
Kwanza haupaswi kutukana wakat haujafanya RESEARCH .
NAAMINi mpka unakiweka Chuo cha NIT katika selections zako utakuwa unakijua saana
Sasa ni vyema ukauliza
Usjichanganye Dogo ..unataka kusoma Relax
Nakusaidia kwa vitu vichache usivyovijua kuhusu NIT
Mfumo wao wa academic ni STAGGERED (Kama haujui maana yake(Google)
Pili Wanafunz wapya NIT wanaingia tarehe 28 /November ndo inaanza Reg ...
Sasa bado mwezi mzima unawatukana ..kuwa mpole ..NIT sio kama CBE
USPENDE KUTUKANA WAKATI HUJUI UNDANI WA MAMBO ..
MAJINA lazima yawe approved kama wanafunzi wana vigezo ndo yawe aploaded kwa Site yao
Kwanza nikukosoe kuwa mm sio Mfanyakazi wa NIT .RELAX .Unaijua maana halisi ya neno 'kutukana'? kama huijuwi iulize Google.
By the way, kwaiyo unatueleza hapa kwamba "kufanya RESEARCH" ndiyo justification ya KUTUKANA? hehehee unaiaibisha taaluma yako Mkuu.
Sasa twende kwenye point:
a). Umesema Tarehe 28 November ndiyo wanafunzi wanaingia for Registration. Well, sasa niambie... hiyo tarehe ni official? If YES, ipo publicized kwenye notice board pekee? au pia na kwenye website yenu?
b). Majina mshayabandika kwenye ubao wa matangazo? If YES, kwahiyo kwenye ubao majina hayahitaji kuwa approved kwanza, ila kwenye website majina yawe approved kwanza eeh?
c). Vyuo vingine vyote vili-upload majina kwenye website zao mapema tu, tena sasahivi baadhi ya vyuo visha-upload mpaka 3rd batch!
Lakini NIT bado! unasema eti mpaka majina yawe approved kwanza, hehehee mnashangaza sana nyie watu. Mna-approve vitu gani hivyo kaka hamkamilishi? au mna-approve qualifications za kutengeneza Jua? hehehee
Mkuu, hebu fanyeni kazi. Acheni uvivu na ubabaishaji.
Ni classmate wangu, yupo kijijini kwasasa, since last week ndiyo alikuwa ananisumbua nifollow-up kujua amepata chuo gani kati ya vinne alivyojaza. Na tayari tushajua chuo alichochaguliwa. Na sio NIT CHUO CHA KATA!!!
Mie nilichagua kulima horticulture tangu mwaka jana. Karibu bro, njoo ufungashe matembele uongeze damu.
-Kaveli-
Kwanza nikukosoe kuwa mm sio Mfanyakazi wa NIT .RELAX .
Na issue ya academic calender IPO kwenye site ..ila tatzo mnaingia mnaangalia List of Selected and not otherwise
Pili Nilikwambia NIT wanatumia STAGGERED kama umeifatilia ndhani ungeelewa zaidi
Third iyo majina DEGREE NI mengi huyawezi kutosha kwa Mbao za Matangazo ya NIT
Na majina yaliyobandikwa ni Ya LEVEL 4 (CERTIFCATES)
Kama unakuja kusoma CEETIFICATES yapo notesboard na Website yapo published weeks ago
Namaliza kwa kukwambia hivi Tarehe 28 ndo mwaka wa kwanza wanaenda FIELD so Ndo official date ya kuanza Registration kwa first year 2016/2017 kuanzia tarehe 28nov -5 dec
Narudia kuwa mm sio mfanyakazi wa NIT ila nimekusaidia tu kwakuwa nimefanya Reasearch na nayajua haya
Pia haujawa selected kuja NIT so katika approval unaweza kukatwa ndo maana hawajarelease majina official
Na ile majina ili leak kwa JF ikonesha picha Za majina basi uo ndo utendaji mbovu wa kazi kwakuwa haikutakiwa
Na najua wazi umeona jina lako na kozi yako Kupitia that SEARCH link ya TCU ..so relax mjomba utasoma mpka utataka likizo
Lastly na kwa muhimu ..usipende kusikiliza Rumors ...kuwa detailed and when conveying a massage make sure yo'are COMPOSED with wat your delivering
AVI JR
SAWA baba mjuaji wewe ...ila IPO siku utaelewa namanisha nini The big issue here is that " you are attacking me and not my Facts"
I even think to exercise my silence leaving you delivering RUMORS
Ila nimekwambia Mm sio MFANYAKAZI WA NIT
I was just trying to help ni lini wanafungua ..ila still unajitia UJUAJI
BISHANA huku JF lakini NIT haupajui vyema ..Hope Utajua vyema
Unasema Staggered ni kwa NTA 4?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
SAWA baba mjuaji wewe ...ila IPO siku utaelewa namanisha nini
Na nikupe tu mfano MWAKA WA KWANZA WA DEGREE PRORAMES NDO UNAISHA MWEZI WA 11 TAREHE 28 ILI KUPISHA FIRST YEAR 2016/2017
endelea kubisha na ukweli
Time will ONGEA
Wamenichagua aircraft TCU wameshaprove wao wanazingua aisee wasije niletea magumashi kabisa !!!!!!
Sawa bichwa tope nimekuelewaww ni kichwa maji...soma vizuri hiyo comment.chuo gani cha serikali unachokijua ww wanatoa engineering diploma ya miaka 2 kwa waliofeli form 6 tofauti na hao nit?
Hili li chuo najuta kuchaguliwa hapa daaah website haina updates , wanachelewa kufungua chuo , bado nasikia wanafunzi wanasoma kwa shift daah
Labda kwa sababu ni kikongwe so uzee unakisumbua.Chuo kikongwe and experienced lakini kina ubabaishaji mwingi utadhani chuo cha Kata.
Ata Amazon College kina nafuu.
-Kaveli-