NIT ni chuo ama ni kijiwe cha tuition?

NIT ni chuo ama ni kijiwe cha tuition?

Shusha data mkuu,, IT tupo tayari kupiga mzigo wao wanawekana. Inawezekana hao waliowaweka wanajua cable termination tuuu. Director wao wa ICT yupo serious kweli?? Angalia hata saris yao, ipo very weak,matokeo yakitoka ukichelewa kuangalia unakuta mwenzio ameshalog in na amechange password yako, hapo ndipo nilichoka nikamuuliza mhusika chuo chenu kina IT dept kweli??? Ukiangalia form za saris yenyewe ni aibu tupu,nathubutu kusema hiki chuo waajiri wataalamu wapya. Wasilete vigezo vya huruma za kujitolea,wachuje competent people waendeshe idara unless otherwise watumbuliwe
Nasikia saris yao inazingua kila mwaka, hakuna ubunifu kabisa hata usajili ni kupanga foleni yaani wanachuo elfu tano wote foleni... Hakuna ubunifu kabisa hata usajili online hakuna yawezekana kweli ma it wamelela usingizi mzito
 
Usemacho ni kweli mkuu. Watu wengi wanakilalamikia sana hiki chuo. Hata humu JF kuna threads kibao zinaelezea ubabaishaji wa NIT.

Kuna very poor Management pale. Chuo kinafanya mambo kilocal sana.

-Kaveli-
Bado unataka kwenda kusoma hapo! Kuwa na akiba ya maneno
 
Bado unataka kwenda kusoma hapo! Kuwa na akiba ya maneno

Nani kakwambia nina nataka kwenda kusoma hapo? Can you prove your statement?

Ni maneno yepi hayo unayotaka niyaweke kwenye akiba?

Why unatetea 'lazy affair' Administration kwenye hiyo taasisi ya serikali?

-Kaveli-
 
1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na inasambazwa kwa picha. Yaani wameamua 'kui-release' kwa njia hiyo ya 'picha' na kurusha kwenye social media. Tuamini vipi authenticity ya hiyo release ya picha?

Eti majina yapo chuoni watu wakaangalie. Huu ni upuuzi wa karne. Hivi mnadhania applicants wote ni wakazi wa DarSlum eeh waje hapo Mabibo just to view the selection release?!! Soft copy ya hiyo list mnayo, mnashindwa nini kui-upload kwenye hiyo website yenu ili applicants wote countrywide waangalie? Ni uvivu, uzembe ama kitu gani? au ndiyo kufanya kazi kwa mazoea?

2. Applicants to Certificate and/or Diploma: List ya selected applicants ipo kwenye website. Ila cha ajabu hiyo selection release haifunguki! Ukiibonyeza, inakwambia 'jaribu tena next year'.

3. Website ya N.I.T haina any update za chuo kuhusu chochote kile. Hivi hamna kitengo cha I.T? au I.T yenu mmejaza wazee wasioweza kuendana na kasi ya sasa ya technology?

4. Niliwahi kuwatumia email (inquiry), nilijibiwa baada ya miezi miwili! Nchi hii ni ngumu sana walahi.

Nyie N.I.T ni chuo cha elimu ya juu kweli? ama ni kijiwe cha tuition center?

Kama ni Chuo kweli, basi fanyeni kazi in professional manner na muendane na kasi ya teknolojia.

Delay to officially release the selection list, mnasababisha watu tunakuwa stranded on dilemma towards pre-study arrangements.

Tushapanua sana miguu huku kitaa. Sasa ni muda wa kwenda kupanua akili darasani.

Wekeni majina kwenye website yenu. Acheni ubabaishaji.

-Kaveli-
Sasa website kutoeleweka ndo kinakuwa chuo cha kata?? Wew sijui ni dem umechoka kupanua mapaja mtaani...subili muda wa kujiunga utafika una haraka gani...madogo mengine mandaz kweli
 
Aisee nimeshatembea baadhi ya vyoo katika hall za Ud lakini cjawahi kutana na hali kama iliyopo hapo NIT wala inayoikaribia , Ule uchafu ni aibu hasa ukizingatia wasomi wanakaa hapo ni aibu kubwa. . NIT=CHUO CHA KATA=NIT
Kazi kuuza sura tu kwenye vyuo huku unasoma zoom polytechnic fala kweli au unatafuta mabasha
 
watu wengine vichaa yaani unaponda NIT upo mtaani hata certificate ya ufagizi huna NIT ni chuo bora na msiwe na haraka ya kuona majina kwenye website ya chuo mshajiona tcu kama mmechaguliwa nit mnaharaka gani na kwa taarifa yenu kila chuo kina ratiba yake msiwe mafala mnaponda bila reason eti umeambia ukiambiwa uprove utaweza tunaojua nit ni sisi tuliopo nit sio wahuni wa manzese wanaojifanya wanajua nit
 
MAJI paukwel, best HYDROLIC LAB kwa tz inapatikana MAJI
SURVEY ndo 100% kabsa•😛😛😛😛😛😛
 
Sasa website kutoeleweka ndo kinakuwa chuo cha kata?? Wew sijui ni dem umechoka kupanua mapaja mtaani...subili muda wa kujiunga utafika una haraka gani...madogo mengine mandaz kweli

Dada cadabraa, mbona una mihasira sana, una kifafa cha mimba? Teh teh teh

Sasa twende kwenye point:

1. Hiyo website yenu haina update yoyote ya chuo. Mmeshindwa hata kuutaarifu umma kuhusu hiyo ratiba yenu ya 'kipekee', just a scheduled calendar ya chuo ili watu wafahamu.

Kuna haja gani kuendelea kulipia domain ya website ambayo haitumiki ipasavyo? Fungeni hiyo website then tuendelee kupata update zenu kwenye ubao wa matangazo. Naona mshakuwa addicted na kutumia notice board. Zama hizi za technology nyie bado mnakomaa na kubandika update ubaoni. Hehehee

2. Wewe ni mwanamke mwenzagu. So wewe pia unapanuliwa mapaja sana hapo mabibo.

3. Inshu sio 'muda wa kujiunga'. Inshu ni watu wawe aware kuhusu selection mapema (within reasonable time) ili sasa wajipange kwa maandalizi ya kipesa, study needs, n.k then waje kujiunga. Unaipata logic hapo? Yaani applicant afahamu mapema kisha apate muda wa kujiandaa na kujipanga.

Ila mpaka sasa hamjatoa selection release officially, vyuo vingine vyote tayari vimeshatoa. Pia Ratiba yenu ya kujoin haifahamiki, wala tarehe ya kuanza masomo haifahamiki. Haijalishi ni lini, ila ratiba iwe open ifahamike tu basi. Kweli kabisa huoni logic hapo?

4. You are right dada. Kweli mie ni dogo tu, ila nina uwezo wa kuwatoa kamasi-jepesi majimama 10 kama wewe kwa mkupuo.

Karibu mkuu.

-Kaveli-
 
Nani kakwambia nina nataka kwenda kusoma hapo? Can you prove your statement?

Ni maneno yepi hayo unayotaka niyaweke kwenye akiba?

Why unatetea 'lazy affair' Administration kwenye hiyo taasisi ya serikali?

-Kaveli-
Una stress, umepanic, uko stranded hata unachokiongea hukijui ni kweli umechoka kupanua miguuu, kama unajiamini kupata nafasi ya kusoma presha ya nini?
 
Kazi kuuza sura tu kwenye vyuo huku unasoma zoom polytechnic fala kweli au unatafuta mabasha

Wewe Dada Cadabra naona unajibu kwa hasira, kila nilichoongea kina ushahidi ndani yake, unasoma chuo cha kata Dada angu yaani hata website kuwa updated ni ishu du! !!!!!.... mi mazingira yenu tu yalinichosha xaxa kumbe hadi academically ni jipu. ...
 
Mtoa uzi, kweli naona mantiki ya malalamiko yako. I'm not sure kama huu ukimya ni wa kawaida.

Its my sincere speculations that there should be a problem. Sasa tatizo linaweza kuwa beyond the control of the institute. Cha msingi vuteni subira, sidhani wanaweza kukurupuka kuita watu "within a day". Lazima wawape muda wa kutosha kufanya maandalizi
 
Una stress, umepanic, uko stranded hata unachokiongea hukijui ni kweli umechoka kupanua miguuu, kama unajiamini kupata nafasi ya kusoma presha ya nini?

Kwahiyo hicho ndo majibu ya maswali niliyokuuliza?

Mkuu hebu soma tena nilichokuuliza afu angalia ulivyojibu. Mkiitwa villaza mnanuna. Hehehehee

Swali la nyongeza: Wewe hupanui miguu? au ni mpanuliwa?

-Kaveli-
 
watu wengine vichaa yaani unaponda NIT upo mtaani hata certificate ya ufagizi huna NIT ni chuo bora na msiwe na haraka ya kuona majina kwenye website ya chuo mshajiona tcu kama mmechaguliwa nit mnaharaka gani na kwa taarifa yenu kila chuo kina ratiba yake msiwe mafala mnaponda bila reason eti umeambia ukiambiwa uprove utaweza tunaojua nit ni sisi tuliopo nit sio wahuni wa manzese wanaojifanya wanajua nit

Wewe kuijua NIT nje ndani haifuniki mapungufu yenu hapo chuoni. Wewe kuijua NIT vizuri sio justification ya kuzuia watu wasi-raise concerns zao kuhusu chuo hicho.

Mkuu, msiwe wakali mnapoelezwa ukweli kuhusu 'lazy affair' running ya chuo chenu. Critique makes you stronger coz unakuwa unaelewa sasa wapi uboreshe.

Jitahidini mboreshe hizo gaps. NIT ni chuo kikongwe and experienced. As such, you must heed to professionalism and efficiency.

Na unaposema kwamba eti watu wanaponda NIT bila REASON, unaonesha ni jinsi gani ulivyo mweupe kichwani. Acha kufikiri kwa 1% !

Karibu kigoma uvinza tuvune chumvi.

-Kaveli-
 
jamani kuna yeyote aliyechaguliwa nit kaona jina kwenye list ya waliopata mkopo
 
Mtoa uzi, kweli naona mantiki ya malalamiko yako. I'm not sure kama huu ukimya ni wa kawaida.

Its my sincere speculations that there should be a problem. Sasa tatizo linaweza kuwa beyond the control of the institute. Cha msingi vuteni subira, sidhani wanaweza kukurupuka kuita watu "within a day". Lazima wawape muda wa kutosha kufanya maandalizi

Ahsante Mkuu kwa kuiona MANTIKI ya hoja yangu.

-Kaveli-
 
Wewe kuijua NIT nje ndani haifuniki mapungufu yenu hapo chuoni. Wewe kuijua NIT vizuri sio justification ya kuzuia watu wasi-raise concerns zao kuhusu chuo hicho.

Mkuu, msiwe wakali mnapoelezwa ukweli kuhusu 'lazy affair' running ya chuo chenu. Critique makes you stronger coz unakuwa unaelewa sasa wapi uboreshe.

Jitahidini mboreshe hizo gaps. NIT ni chuo kikongwe and experienced. As such, you must heed to professionalism and efficiency.

Na unaposema kwamba eti watu wanaponda NIT bila REASON, unaonesha ni jinsi gani ulivyo mweupe kichwani. Acha kufikiri kwa 1% !

Karibu kigoma uvinza tuvune chumvi.

-Kaveli-
sikulaumu utakuwa ushawahi kuugua kichaa
 
sikulaumu utakuwa ushawahi kuugua kichaa

Mkuu, seriously kabisa hizi claims zote watu wanazozitoa kuhusu NIT, hujaona yenye mantiki hata kidogo?!!

Basi I'm very doubtful of your thinking capacity.

If you can't see any genuine concern to internalize from this discussion, basi wewe endelea tu kuokota makopo na kufagia hapo chuoni whereas even hygiene standards are also at bay since time immemorial !

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom