fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,471
Hua mnapapara sana humu jamvini hususan mwaka wa kwanza utadhani wengine hawakuwahi kupitia system mnayopitia nyinyi,afu wepesiiiiii kulaumuuuu.Vyuoni kuna kazi ngumu sanaaaa,kwa mwaka huu vingi vinajarbu kua makini katka kuweka mambo sawa na kujiridhisha ili kuendana sambamba na serikali,kwa hyo yapaswa mtu ukiwaunatoa maneno yenye ladha chafu yarudie mara mbilimbili.Chuo cha NIT ni roho ya serkal ktk transport,sasa wewe kisa hujaona majina ktk website ya chuo ndo uanze kuleta maneno machafu basi huo ni ukosefu wa adamu na stara,wenzio walijiona wasomi na hakuna wengine zaid yao na mwisho wa siku wanalia mitaani tu hukuu kwa njaa maana no ajira naumezoea kulaumu tu so unakosa wa kumlaumu na hatimae ndo mnakuja kua panya road n nyinyi,wezi na matapeli.kua msomi kijana fatilia mambo kwa mapana acha kwenda kwa mazoea,nenda selection za tcu wao ndo wenye mamlaka wakikuchagua hakuna wa kukurudisha, ukipata chance pia ni vyema ukauliza wanafunzi wenzio pale wakusaidie na si kila siku unajaza thread kwa hayo mambo yako ya ajabu