NIT ni chuo ama ni kijiwe cha tuition?

NIT ni chuo ama ni kijiwe cha tuition?

Mkuu, hiki 'chuo' kinalalamikiwa sana. Nasikia hata ratiba yao ya masomo ni mbayu mbayu, haieleweki!

Wajirekebishe bwana. Now tupo zama za professionalism and efficiency, plus technological facilitation to ease things.

Hizi sio zama za manual work eti kubandika majina kwenye notice board watu watoke all the way majumbani mwao to Mabibo kwenda kuangalia majina.

Africa tunapotezeana sana muda unnecessarily. This is among the factors as to why hatupigi hatua kimaendeleo.

-Kaveli-
Mkuu umeeleweka na naimani wapo humu watachukua hatua stahiki katika kujenga
 
NIT itakuwa kuna matatizo upande wa IT. Kuna wakati website yao ilikuwa haipo kabisa.


Chuo kikongwe and experienced lakini kina ubabaishaji mwingi utadhani chuo cha Kata.

Ata Amazon College kina nafuu.

-Kaveli-
 
Hv hawa c ndo best engeneer kuliko wale wa YUDIZIMI asaaah mbona vitu vidogo tu wanazingua wakuu!!!
 
chuo cha kataaaaaa... aisee hicho chuo kina uchafu kila kona , vimbweta ..... chooni &bafuni . ctajaribu kukitembelea tena. Mnisamehe lakini huo ndo ukweli ingawa unauma!!!!!..
 
chuo cha kataaaaaa... aisee hicho chuo kina uchafu kila kona , vimbweta ..... chooni &bafuni . ctajaribu kukitembelea tena. Mnisamehe lakini huo ndo ukweli ingawa unauma!!!!!..
Umejaribu kwenda UD? ukaona vyoo vya seminar rooms pale?, ukaenda vyoo vya halls kuanzia ONE mpaka SEVEN? Unaujua ustaarabu wa wanafunzi? Hata dingi yako akiwa ni dent? Tulia nenda kasome , ustaarabu ni kwako!
 
Umejaribu kwenda UD? ukaona vyoo vya seminar rooms pale?, ukaenda vyoo vya halls kuanzia ONE mpaka SEVEN? Unaujua ustaarabu wa wanafunzi? Hata dingi yako akiwa ni dent? Tulia nenda kasome , ustaarabu ni kwako!

Aisee nimeshatembea baadhi ya vyoo katika hall za Ud lakini cjawahi kutana na hali kama iliyopo hapo NIT wala inayoikaribia , Ule uchafu ni aibu hasa ukizingatia wasomi wanakaa hapo ni aibu kubwa. . NIT=CHUO CHA KATA=NIT
 
1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na inasambazwa kwa picha. Yaani wameamua 'kui-release' kwa njia hiyo ya 'picha' na kurusha kwenye social media. Tuamini vipi authenticity ya hiyo release ya picha?

Eti majina yapo chuoni watu wakaangalie. Huu ni upuuzi wa karne. Hivi mnadhania applicants wote ni wakazi wa DarSlum eeh waje hapo Mabibo just to view the selection release?!! Soft copy ya hiyo list mnayo, mnashindwa nini kui-upload kwenye hiyo website yenu ili applicants wote countrywide waangalie? Ni uvivu, uzembe ama kitu gani? au ndiyo kufanya kazi kwa mazoea?

2. Applicants to Certificate and/or Diploma: List ya selected applicants ipo kwenye website. Ila cha ajabu hiyo selection release haifunguki! Ukiibonyeza, inakwambia 'jaribu tena next year'.

3. Website ya N.I.T haina any update za chuo kuhusu chochote kile. Hivi hamna kitengo cha I.T? au I.T yenu mmejaza wazee wasioweza kuendana na kasi ya sasa ya technology?

4. Niliwahi kuwatumia email (inquiry), nilijibiwa baada ya miezi miwili! Nchi hii ni ngumu sana walahi.

Nyie N.I.T ni chuo cha elimu ya juu kweli? ama ni kijiwe cha tuition center?

Kama ni Chuo kweli, basi fanyeni kazi in professional manner na muendane na kasi ya teknolojia.

Delay to officially release the selection list, mnasababisha watu tunakuwa stranded on dilemma towards pre-study arrangements.

Tushapanua sana miguu huku kitaa. Sasa ni muda wa kwenda kupanua akili darasani.

Wekeni majina kwenye website yenu. Acheni ubabaishaji.

-Kaveli-
Kila kitu kina ratiba acha maneno mengi tulia kila kitu kitaenda sawa
 
iko chuo michosho sana mi kuna jamaa zangu wanapiga auto hapo wanalalamikia ratiba haifuatwi kuna baadhi ya vipind hawajafundishwa hadi leo yani uzinguzi tu wanavyodai yani sio hao tu wengi wanakisema sasa sijajua tatizo liko wapi utawala au la;
 
Aisee nimeshatembea baadhi ya vyoo katika hall za Ud lakini cjawahi kutana na hali kama iliyopo hapo NIT wala inayoikaribia , Ule uchafu ni aibu hasa ukizingatia wasomi wanakaa hapo ni aibu kubwa. . NIT=CHUO CHA KATA=NIT
hahaha
 
Sijawahi kuona wakijaribu kushindanisha Engineers wa NITvs UDSM,ile ni Dar es salaaam Institute of Technology(DIT) na hii ni National Institute of Transport (NIT).
Swadakta mkuu co hawa ila nawao waczngue sasa
 
Back
Top Bottom