Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,962
- Thread starter
- #41
Hahaaaa sitaki kuamini Amazon college hii hii iwe na nafuu kuliko NIT
Ndo hivyo Mkuu. Kiutawala na Kiuongozi, hawa NIT ni jipu!
Hebu fikiria kaka, selection release ipo chuoni (sijuwi ndo imebandikwa kwenye notice board) ila wameshindwa kabisa kui-upload kwenye website yao!
Yaani hata vyuo vya kata vina nafuu coz vipo kisasa zaidi, kidigitali, mambo yote kwenye website.
Chuo kikongwe and experienced lakini kinafanya mambo kilocal mno!
Siku hizi ata secondary schools zenyewe zinatumia Website to ease communication.
Wazungu daily wanaumiza vichwa kuadvance technology ili kurahisisha maisha ya wanadamu, na kutopoteza muda unnecessarily.
Sasa hao NIT... website wanayo, ila wanataka watu waende chuoni kuangalia majina kwenye ubao wa matangazo. U-priminitive na uvivu na kutojali. Inaonekana pale kuna very poor Management!
-Kaveli-