Nissani patrol number B million 45, ni parefu sanaa hiyo pesa ni ya prado TX number C au D1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol
2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam
3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45
5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
View attachment 2955503View attachment 2955504View attachment 2955505View attachment 2955506
Hivi kumbe zina bei kubwa kiasi hiki?1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol
2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam
3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45
5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
View attachment 2955503View attachment 2955504View attachment 2955505View attachment 2955506
Hamna huyu hajui anacho uza hata 25m hawezi kupata kabisa.Hivi kumbe zina bei kubwa kiasi hiki?
Hapo akipate hela si zaidi ya 15M basi.Hamna huyu hajui anacho uza hata 25m hawezi kupata kabisa.
Mojo ya Gari nayoithamini sana Nissan.1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol
2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam
3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45
5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
View attachment 2955503View attachment 2955504View attachment 2955505View attachment 2955506
Bila shaka unatania. Hakuna kitu kizuri kama kuheshimu biashara ya mtu. Acha kukejeli riziki yangu..Gari y Milioni 45 halafu unashindwa kujaza upep0.Hiyo Kula milioni 5 Kama mtu akija maana inavoendelea kukaa hapo Inaliwa na Panya tu...
Habari, hii gari ina ENGINE GANI?1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol