nissan march 2001 spare parts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nissan march 2001 spare parts

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by rosemarie, Jun 12, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mwaka jana nilinunua nissan march 2001 model,naitaji baadhi ya spare ambazo hazipatikani hapa kwetu
  naomba msaada nitaagizaje spare nje?
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  naomba kama kuna duka wanauza spare hizi za nissan march hapa tanzania nipewe no yao,nafikiri nimekwama kabisa
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ball joint,rim,mlango,vioo,taa(in general) shock ups, suspension,break pads,drums,brake shoes(linings),master cyllinders (brake&clutch) NAKADHALIKA.....?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  unataka kitu gani? Sema unaweza kupewa hata maarifa mengine
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ball joint,kuna sauti inatoka mbele wakati gari inatembea,fundi amesema ni ball joint,tafadhali naombeni no ya hao wauzaji
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  zipo spare parts za aina zote za nissan unazozijua wewe nchini kenya kwani wao ni wakala wa nissan agiza mombasa au nairobi km una mtu akutumie
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mzee subaru forester zapatikana?
   
 8. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  zinapatikana hata impreza nazo zipo
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nenda shauri moyo pale au nenda Ilala huko utakutana na wapemba gari yako itarudi road
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wee mzee unawajua sana wabongo wenzio
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  jf imeniokoa,nilikuwa nafikiria kuiuza
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Wenyewe Japani washazitupa hizo, lifespan yake imekwisha nyie mnazipaparikia, matokeo yake ndio hayo, ngoja spare za kichina au India, za orijino huzipati babuweee, model hiyo ni ya kwenda scrap tu kule Japan. Au kama uko Dar nenda Tabata wakakufanyie "modifications" za uchwara.

  Mwanamke kuendesha vigari vya 2001 ndio nini? uonekane una gari? si bora upande daladala tu.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Acha kijiba cha roho mbaya. Mwenzio kaunga unga mpaka kakamata mkoko
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  duI!hiyo statement kama ni kweli basi
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nenda pale Shauri moyo karibu na shule ya Benjamin Mkapa utakuta maduka ya used mengi sana na wengine wanazo half cut za hizo gari spare zake utapata tu hakuna linashindikana Bongo hii.
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  wewe dada achana na mimi,kwanza sina mazoea na mujahidina hata kidogo,ila kama
  unanitafuta utanipata tu!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha achana nae huyo kila kitu anajifanya anajua

  Mpotezee unaweza jikuta unaharibu siku hivi hivi
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Nimempa ushauri wa bure. Mwanamke anatakiwa awe na usafiri wa uhakika na atie akili ajuwe wapi atapa spare kabla ya kununua gari, basi kisha niona mbaya kwa kumwambia kweli.
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa bure nimekupa. Mnapaparikia vigari wenyewe washa vitupa. Usione mbaya, ujahidina wangu ndio unafanya nikupe hizi nasaha.

  Leo si unaona hata spare hakina. Hakikisha unakisukuma haraka iwezekanavyo tena usimuuzie mwanamke mwenzio kwenda kumtesa kama unavyoteseka wewe. Waliokuuzia hicho walikutia mkenge na wewe ukakiona rahisi ukaingia kichwa kichwa. Nna uhakika aliyekuuzia kama si Mpemba basi Mchaga.

  Usingetaka ushauri usingelileta humu JF, unanini babuwee, nikutafutie nini? hicho kigari kibovu? khaaa! unanchekesha!

  Huo ni ushauri wa bure ukitaka upokee usipotaka achana nao.
   
 20. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  jamani hili sio jukwaa la mipasho ni la kuelimishana mbn mwaka 2001 ni latest car kwa hapa bongo je sie tunoendesha chevrolet ya mwaka 92 tutasemaje?
   
Loading...