rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,446
- Thread starter
- #21
Ushauri wa bure nimekupa. Mnapaparikia vigari wenyewe washa vitupa. Usione mbaya, ujahidina wangu ndio unafanya nikupe hizi nasaha.
Leo si unaona hata spare hakina. Hakikisha unakisukuma haraka iwezekanavyo tena usimuuzie mwanamke mwenzio kwenda kumtesa kama unavyoteseka wewe. Waliokuuzia hicho walikutia mkenge na wewe ukakiona rahisi ukaingia kichwa kichwa. Nna uhakika aliyekuuzia kama si
Mpemba basi Mchaga.
Usingetaka ushauri usingelileta humu JF, unanini babuwee, nikutafutie nini? hicho kigari kibovu? khaaa! unanchekesha!
Huo ni ushauri wa bure ukitaka upokee usipotaka achana nao.
huyu sister inaonekana anapenda sana ligi,sasa sijui kaelimu aliko nako hakajamfungua macho
kwani sister wee unaendesha la aina gani?