FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,575
- 2,090
Kwani Bongo kuna gari gani ya Kijapan haiuzwi? Wabongo kuuza gari ili aongezee anunue ingine ndio kawaida.Habarini za Muda Huu Wana JF
Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo ..
Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
Kama una hela za mawazo achana nayo usije kutuletea thread hapa Benz mbovu.Anaejua In and out ya Benz Class E ile ya kujivua nguo na kubakia empty juu, naomba ABC chache
TanuruHabarini za Muda Huu Wana JF
Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo ..
Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
Hizo ni kiberiti,Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo
Toka mwaka 2012 nanunua magari mkuu napata maoni kama hili lako, awali nilikuwa napata tabu sana na huo msemo au kauli, ila nikaja jua ni hulka zetu wabongo. Hela ni ya mawazo kweli ila naihitaji pia.Kama una hela za mawazo achana nayo usije kutuletea thread hapa Benz mbovu.
Mkuu hatuwezi kuwa kwenye topic ihusuyo giza af'wewe ukaanza mjadala wa topic ya mwanga!Ni gari nzuri tatizo hazina wataalam wa kutatua matatizo yake, Kabla hujanunua gari hakikisha kuna mafundi wa uhakika na spea ziwe za kumwaga.
Nipo na Toyota yangu mwaka wa tano huu, gari naenda nayo gereji kwajili ya service kumwaga oili tu, kukiwa na shida hata niwe kijijini nina uhakika wa mafundi na spea.
Unajua nimefikiria ulivosema “ile ya kujivua nguo na kubakia empty juu” nikawa sielewi, nikajua code, kumbe unamaanisha cabriolets aka convertible?Anaejua In and out ya Benz Class E ile ya kujivua nguo na kubakia empty juu, naomba ABC chache