Nisome hii kweli

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Poleni na miangaiko yenu wan JF naombeni lakini msaada wenu kidogo ivi niki soma degree ya Public Relations and marketting kweli ntaweza kuchukuliwa kufanya kazi inayousu Marketing naombeni msaada wa mtu mwenye experience au anayemjua mtu aliyo isoma na kuajiriwa kwenye kazi ya Marketing.. Ahsanteni nyote
 
Kuna majamaa wamenielekeza hiyo degree kutoka SAUT,Mwanza wanasema nzuri lakini details kama izo awanipi na prospectus nimeisoma na ona mambo ya marketing machache sana
 
Ni nzuri sana tena hiyo public relation itakubebe sana.. Bare in mind kila bib firm lazma iwe na pr(public relation) officer as far as utakuwa na marketing knowlege ull be a hotcake..
NAKUPA BIG YES KASOME HIYO COURSE.. Ukija kupata kazi ya field ulosomea utafaidi matunda ya nchi ndugu... Best of luck
 
Ahsante sana kwa msaada wako
 
To compliment
UTAKUJA; An ukasome kweli upate GPA ya kueleweka na physical you should rea reflect the GPA labelled agaisnt you sio tu ukakamilishe miaka ya masomo halafu utegemee mazuri. GO WORK HARD BOY
 
That's exactly what I do ...I play around in holidays but when I am at school nothing else matters but my grades
 
hz mbwemmbwe chezea tz watu wanafanya kazi out kabisa walichosomea soko la ajira gumu sana..cheout mawaziri wako na viongozi wa nchi nafasi zao differ na course walizosoma..
 
kwani uongozi una kozi si unafiki wako tuu unao weza tema jukwani
 
Back
Top Bottom