Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,734
Ahsante sanaMechanical kiboko utapata kazi fasta.
Kiukwel moyo wangu unajskia furaha kuwa engineerMechanical kiboko utapata kazi fasta.
Kiukweli ndugu moyo wangu unajskia furaha kuwa engineerKama wewe kambi popote basi soma yoyote tu....yaani funga macho dondosha kidole kitakapotua itakayokubali ni iyoiyo....unapoulizwa unapenda kuja kuwa nani ilo ni swali la msingi sana na haitakiwi ulete ujanja ujanja katika kulijibu
Chukua maamuzi fasta kwani dunia ya sasa niya viwandaKiukwel moyo wangu unajskia furaha kuwa engineer
Mechanical Engineering na Electrical Engineering huwez kulala njaa hata vyuma vikaze vipi.Vip kuhusu engineering wakuu, ipi ni mwake hapo
Soma mechanical engineering or electrical or civilKiukweli ndugu moyo wangu unajskia furaha kuwa engineer
Kwa hiyo mkuu kati ya mechanical engineering na electrical engineering ipi mwake zaidi ww nichane live tuMechanical Engineering na Electrical Engineering huwez kulala njaa hata vyuma vikaze vipi.
Mechanical eng. Ndio fani yangu kazi nazikimbia mwenyewe kwa kufuata maslah makubwa.
Kwa uzoefu wangu Mimi watu wa mechanical na electrical huwa wanafanya kazi sehem moja wanashirikiana kwenye machines Maintenance na idadi ya ajira zao pia zinafanana coz mtu akianzisha kiwanda ataajiri watu wa mechanical na Electrical pia.Kwa hiyo mkuu kati ya mechanical engineering na electrical engineering ipi mwake zaidi ww nichane live tu
Kiukweli ndugu moyo wangu unajskia furaha kuwa engineer
Kasome Radiologyna vip kuhusu course hz DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY,PHARMACY NA CLINICAL MEDICINE,ipi iko poa kwa issue za ajira na kupata pesa za chapuchapu