ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #41
Bujibuji unatafuta ngumi, mwanangu Zion Daughter anatabirika na kueleweka. ladyfurahia ni mtoto wako na amethibitisha mwenyewe! Malezi yamekushinda unaanza kumgawa mtoto kwa watu wengine.
Aisee upo??????
mwaJ ndoa yako mashakani, siri imefichuka hukuniwaullizeni nyie kwani nyie ndo mlionitoa duniani sasa mm nitajuaje ambianeni wenyewe mmenitoa wapi mie?
Hizo siri zenu za kutunga na mwanao asiyetabirika wala hazitaitingisha ndoa yangu!
yani umeshindwa kunifananisha na my cousin charminglady na best wa ukweliiii Smile unanifananisha na yule
Hizo siri zenu za kutunga na mwanao asiyetabirika wala hazitaitingisha ndoa yangu!
bado haijawa ndoano tu... au unatuzuga
I dont understand what you are saying madame!
Sasa unataka iwe ndoano kwani sie tunataka kuvua samaki?