orturoo JF-Expert Member Mar 13, 2017 2,676 4,247 May 10, 2021 #21 king otaligamba said: Kwakweli yaliyotokea jana ni mambo ya aibu katika ulimwengu wa soka. Daah Click to expand... Brother ile issue ilikua organized ili kuzima yaliyokuwa yanaendelea kwenye serikali yetu hujui nchi yetu inaendeshwa kwa mayukio......hahaha...joking in serious mood
king otaligamba said: Kwakweli yaliyotokea jana ni mambo ya aibu katika ulimwengu wa soka. Daah Click to expand... Brother ile issue ilikua organized ili kuzima yaliyokuwa yanaendelea kwenye serikali yetu hujui nchi yetu inaendeshwa kwa mayukio......hahaha...joking in serious mood
ndiga JF-Expert Member Jan 28, 2014 585 593 May 10, 2021 #22 Karia na genge lake wameingia mkenge sidhani kama wana ushahidi toka serikalini kutosha kuwasafisha dhidi ya kuvunja sheria walizopewa kuzisimamia.
Karia na genge lake wameingia mkenge sidhani kama wana ushahidi toka serikalini kutosha kuwasafisha dhidi ya kuvunja sheria walizopewa kuzisimamia.
W wazunguwawili JF-Expert Member May 29, 2019 3,984 4,131 May 10, 2021 #23 Hakuna wa kumpongeza katika hili.