Nisipowapongeza Yanga SC kwa 'Walichokifanya' jana nitajiona ni Mkosaji mkubwa na Mnafiki mno

Kwakweli yaliyotokea jana ni mambo ya aibu katika ulimwengu wa soka. Daah
Brother ile issue ilikua organized ili kuzima yaliyokuwa yanaendelea kwenye serikali yetu hujui nchi yetu inaendeshwa kwa mayukio......hahaha...joking in serious mood
 
Karia na genge lake wameingia mkenge sidhani kama wana ushahidi toka serikalini kutosha kuwasafisha dhidi ya kuvunja sheria walizopewa kuzisimamia.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom