mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Miaka 7 iliopita nilikua na mahusiano ya kimapenzi na msichana 1 kwa hakika alionekana kunipenda tofauti na ninavyompenda mimi lengo lilikua ni kumuoa ila alipoona nachelewa basi alikubali kuolewa na mtu mwengine sijui kwa nini?
Baada ya maandalizi ya ndoa aliniambia kua anaolewa niliumia kiasi ila sikujali sana akaniomba mchango wa harusi nilimpa pesa ambazo alishangaa kwani hakutarajia.
Baada ya ndoa na mwezi kupita malalamiko yakaanza ooooooh mume wangu hanipi raha kama zile za kwako maraaa naishi nae ila simpendi ooooooh nataka niachike kwa kweli lawama zilikua nyingi mi nikawa namshauri kumvumilia kwandi ndio mume wake na ni mwili mmoja kwa sasa anamimba ya miezi 3 amevimba miguuu anaumwa umwa kila siku , na shida kwake haziishi mara nimpe hela ya kula mume wake amempa pesa finyu mara anaumwa hana hela ya matibabu hapiti mwenzi bila ya kunitangazia shida ninapomuambia sasa mume wake ndio anajukumu la kumuhudumia na sio mimi basi ananuna na kusema kua asiponiambia mm shida zake amuambie nani?
Kwa kweli nashindwa kumuelewa yeye na mume wake wanaishije ?
Naombeni ushauri hii mizinga nimeichoka