The state of aids and its stories (curse)

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,989
intro:
so siku za nyuma nimekutana na binti mmoja wa kiislam, age : 19. married, education : form 2. ana mimba pia anamuamini Sana mume wake , mume yupo late 20s, mfanyabiasha na pia ameajiliwa, kazi ina all benefits bima and everything.

Mainstory
Huyu mtu ana imani kubwa sana na mume wake maana ndo mtu wa kwanza kwake . so ni mwanaume pekee anamjua. she has never been in other relationships. they have been together since she was 17. sasa anamimba pia ni muathirika na hajui kabisa. clinic wakampima awakumpa habari kuwa nimuathirika. walimpa dawa na treatment nyingine kama wengine. akiulizwa ana dawa ana sema " Ndio " Kuna dawa za kuongea damu alipewa kabla ya clinic na alikuwa na tumia kila siku kwa miezi sasa, clinician wakadhani ni ant viral.

The other side
mume wake huyu dada is loving and humble ila ni mtu careless sana na wanawake sana, anaapita na yoyote sema kimya kimya . yeye ameathilika ajui, ana target mke wake, ile mimba atajua kama ameathilika au laah akienda clinic.

Damages :
huyu binti alijua siku ameenda kwa dokta anaumwa anaambiwa ameathilika. amekataa kabisa kabisa amesama aiwezekani mimi niwe muathirika. kaenda kwa mume wake kumwambia, mume kamwambia amna waongo hao, amemlubuni, kakubali, clinic asiende tena. issue kamwambia ndugu yake kaja kutushilikisha, shida huyu dada ashauliki kabisa. na imani kubwa sana kwa mume wake,
jambo ambalo lina kuja na age yake.

Drama
za ndani ni kwamba mume wake kaenda kujiaakikishia, now anaamenza dawa chini kwa chini. Anaogopa kumwambia mke wake to change his perspective, anajua mke ana mimba ila roho ina muuma, na watu wa karibu wamesema hivyo. Kwa miaka ya huyu binti, wakitokea watu kama Hawa 1000, tusali sana.

what should we do for this state:

1: hiv/aids policies ibadilishwe kabisa , ina makosa mengi na ipo kuongeza maambukizi sio kupunguza.

(prevention measures should be initiated )

vitu vya kuangalia

a) Muathirika anatakiwa amwambie his status mke /mume /mpenzi kabla ya tendo au they should practice safe tendo.

b) Atakaye mpa mwingine kwa makusudi achukuliwe hatua including jail time.

c) Tuongeze nguvu kwenye vita hii kizazi kina potea. at a very young age.

d) Elimu na ndoa za utotoni sio kitu cha kuendekeza.

Uandishi , siko vizuri.
 
Back
Top Bottom