Nishikie nyumba

Nishikie nyumba

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Jamaaa mmoja alikua katoka klabu kalewa chakari,na alipofika kwake alikua ameweka konyagi kwenye mifuko yake ya nyuma.Mara akawa ameshikilia funguo na kuanza kufungua mlango,akawa anahangaika sana na ndipo jirani yake alipoamua kuja kumsaidia na akamuuliza kwani tatizo nini,akasema najaribu kufungua lakini nyumba inacheza naomba iushike vizuri itulie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom