Nishaurini ninunue tv ipi kati ya hizi flat screen

Nishaurini ninunue tv ipi kati ya hizi flat screen

SUM - whaaat?
hakunaga hiyo!
Tafuta sAmsUng, ila iwe LED.
 
Nilitoa ushauri nikifikiri alifanya typo wakati anaandika nikidhani alimaanisha Samsung, kibaya zaidi hiyo Sumsung sijawahi isikia na Pia google imeshindwa kunitolea product inayoitwa Sumsung, Naomba ufafanuzi hapo kwenye bold.

huyu naona amekosea kuandika alikuwa anamaanisha Singsung ambazo ni product za singapore. hawa ni watengenezaji wa deki za dvd maarufu hapa bongo za singsung dh1,2,3. hawa pia wanatengeneza flat tv
 
huyu naona amekosea kuandika alikuwa anamaanisha Singsung ambazo ni product za singapore. hawa ni watengenezaji wa deki za dvd maarufu hapa bongo za singsung dh1,2,3. hawa pia wanatengeneza flat tv
Asante kwa maelezo hiyo Singsung sijawahi isikia.
 
samsung. and obviously bei yake itakuwa juu Zaidi.
 
haya ma electronic cha muhimu ni ukubwa wa pesa yako!! kama unafungu zuri Tv sasa zinakimbizana na gari kwa bei SAMSUNG LG SONY PANASONIC na jaribu kua makini maana mchina hana adabu! LG siwasemi vibaya TV zao ni nzuri kama una net ya uhakika nunua LG smart tv inakua na 3D hutajuta!!
 
Chogo ndo mwake flats spare kuzubgu mkuti hakikisha chogo lisiwe mchina
 
Well ungekeweka Specification ya TV unazotaka ingekuwa bora zaidi ila brand inayofanya vizuri kati ya hizo ulizotaja ni Samsung.
 
tatizo haya maflat screen mengine picha inakuwa imepauka au giza giza hata useti vipi
 
Sumsung is nice, if not sumsung find bravia ( sony)
 
Tafuta product ya bei chee BAUHN LED LCD TV au WEGA STAR(sony mtoto) nayo ni LED LCD TV. Ni poa kwa sisi masikini.
 
Singsung na Samsung ni mtu na mjomba wake :becky:
 
SINGSUNG safi sana kwa mwenye mfuko mwembamba. Nazifagilia sana products zote za SINGSUNG!! Tusifuate majina na bei, tufuate ubora
 
nadhan swali lako ni general sana... ungeuliza pia technolojia inayotumia... samsung inaweza kua bora kuliko zote kama unalinganisha technolojia iliyotumika kama inafanana kwa mfano samsung inayotumia technolojia ya LCD haiwezi kua bora kuliko singsung inayotumia technolojia ya LED so cha msingi ununue samsung yenye technolojia ya LED for optimum picture quality ingawa bei nayo si haba!!! ila kwa kigezo cha bei chagua kwanza technolojia alafu ndio uchague samsung!!!
 
Back
Top Bottom