ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
kutokana na ufundi wangu wa electronics sUmsung ni fake , ila Singsung na zec ni brand nzuri kwa wenye kipato cha kawaida na wale wasioangalia majina makubwa. singsung TV, Deck, Fridge ni nzuri nakushauri kama fundi Coz ubora wa kitu sio jina ila ni Perfomance. singsung na zec components zake ziko powa sana.