kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Nimeipenda sana hii Gari lakini kuna kauwoga kananinyemelea kuhusiana na spare parts zake ila kiukweli ibilisi kaniingia kuhusiana na hii mashine
Plz mwenye nayo au hata mwenye uzoefu wa ndinga za kampuni hii
Ubora pamoja durability yake Anisimulie kinagaubaga au walau kiduchu
Nipate kufahamu
Asanteni
Plz mwenye nayo au hata mwenye uzoefu wa ndinga za kampuni hii
Ubora pamoja durability yake Anisimulie kinagaubaga au walau kiduchu
Nipate kufahamu
Asanteni