Ramlis
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 602
- 519
Watumiaji wa ving'amzi tajwa jitokezeni mnijulishe king'amzi gani kitanifaa.
Kwanza kabisa mi sio shabiki wa kuangalia mpira, movie za kihindi au za kinigeria. Pili natoka nyumbani asubuhi na kurudi saa moja usiku nikichelewa sana saa mbili.
Lengo kuu nataka mnijuze king'amzi kipi kina chanel za free to air (fta) kati ya azam na zuku hata kama sina hela ya kulipia niangalie hata taarifa ya habari.
Taarifa ya habari ikiisha napenda niangalie documentary, movie za action au za ucheshi au vipindi vyovyote vyenye faida kwa jamii.