Wanajamii mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 24 nina rafiki yangu flani ivi mtoto wa kishua ambaye amekuwa rafik yangu toka miaka 5 ilopita sema sasa naona mambo hayaendi vizuri kutokana na sababu mbalimbali....kwa mfano labda kunichafua kwa madeem zake...sometimes kujisikia cuz of family status yao na kweli amenisaidia interms of Money tu cuz mm kwa family yangu nkitaka hela ya haraka huwa nakosa kwahiyo sometimes inabidi nimkope jamaa yaani huo ndo msaada wake kwangu tu...sema siku za hivi karibuni tumekuwa hatupatani kiivo na dizaini kama hatutaftani....na sababu kubwa ni kama nlizotaja na ile ya mtu kuwa na dhamira ya kwamba kwann mim nimtafte.....japo huenda pia na mm nina mapungufu yangu...ila naona mm nmechoka cuz imefikia hatua ambayo mm siipendi yaani mtu anakuwa kariib sanaa na dadaa akee ex wangu ambaye na mm haziivi na kila kitu kuhus ex wang rafik yang anajua.....je hio haiwez kuwa insecure kwangu??.....na pia amekuwa mtu wa kujipendekeza kwa marafik zangu pindi mimi sipo....na siku za hivi karibuni kuna mtoto wa kishua yaan binti kanikubaliaa yaan kanpendaa sasaa kumwambia rafiki yangu ni kama hajapenda ata kidogo cuz kaonesha hisia kama yeye alikua pia anamtakaa...by the way mimi ni mtu mchangamfu sana...story mingi so nmetengeneza marafiki wengi sasa naona inafikia anajipendekeza kwa marafiki zangu hadi sometimes na machali zangu mambo yanaenda ndivyo sivyo na naona napoteza wanangu wengi wanaonikubali kisa uyu jamaa...sasa mimi nataka nichukue uamuzi wa kumpotezea yaani ule u close natakaa uishe kabisa kila mtu afanye mambo yake cuz naona msaada wake kwangu ni hela za kukopa ila si vingine maanake hana ata msaada nikiwa katika kipindi kigumu kihisia na kimawazo....bali anakuwa ni mtu anayeprnda vile vipindi vya furaha peke yakee tuu yaan yeye hana msaada ata wa kimawazo na kutiana moyo katika vipindi vigumu bila kujua hali ya ambao tunakaa nae tuko vipi...kimsingi ni mtu ambaye hataki kukushauri jambo zuri yaani kama anataka kuonekana he is more correct than you...ionekane wewe ni hovyo na yeye ni boraa zaid.....yaani mtu anayetakaa kuonaa ukidepend kwake zaidi....kiufup hataki uwe na kitu zaidi yake....by the way sasaa nmechoka japo ni rafik yangu nnayempenda ila hakuna namna.... yaani sasaa wanajamii nishaurini kabla sijachukuaa uamuz.....!
Mbarikiwe sanaa na muwe na Pasaka Njema
AMANI YA BWANA IWE PAMOJA NANYI!