Nishaurini kabla sijafanya uamuzi mbaya

Nishaurini kabla sijafanya uamuzi mbaya

Nipo 4th year chuo kikuu
6c37e0345371a35af51cfc73c3f219b8.jpg
 
Sio rafik huyo ni adui hakupend huyo anaweza ata kuja kukuwekea sum nakwambia katsha mazoea iwe salam tu yan kama ulivyosema ur charming in no time utapata rafiki anaependa maendeleo yako na mwenye kuweza kukushauri
 
Haya pitia tena ulichoandika uone kama kinastahili kuandikwa na mwanaume.soma tu mwenyewe uone usije hisi nakukebehi,maelezo yako ni kama ugomvi wa demu na shosti yake,we kinakuuma nini rafiki yako kuwa close na dada wa ex wako,ama rafiki yako kuwazoea marafiki zako wengine.yaan vitu unavyolalamikia humu ni trivial sana.Hebu MAN up bwana,kuwa mwanaume,jikaze ,simama kama wewe,usifanye urafiki uwe kama uhusiano wa kimapenzi.ukiona mtu hana time na wewe na wewe usimpe airtime fanya yako.jenga life lako mzee achana na distractions zisizo na kichwa wala miguu.uzee waja
 
Maneno yako yamekaa dizaini kama kashfa ila yanaa maana nzuri ya kunijenga kiume zaidi
 
Ahsantee kwa Manenoo Matamuu
 
Jifunze kuwa jeshi la mtu mmoja, sio kila kitu chako lazima na marafiki wakijue kuwa msiri pia usiingilie mambo yake kama anatoka na dada wa ex wako au ex wako it's non of your business. Fata yako na fanya yako kimya kimya mbakie kuwa washikaji wa kawaida tu na sio kujuana nje na ndani
bonge la ushauri... na ungechelewa ningetoa mimi... safi mkuu..!!!
 
Maneno yako yamekaa dizaini kama kashfa ila yanaa maana nzuri ya kunijenga kiume zaidi
Hongera kwa kuwa mwelewa mkuu,lengo langu ndo hilo.huwa napatwa na ukakasi nkiona kijana mwenzangu anapoteza muda ama kuumiza kichwa kwenye ishu zisizo na maslahi.
 
Back
Top Bottom