Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Status
Not open for further replies.
Pasco hilo ni Pepo. did u ever thought about that?
Ukwee, ni kweli hilo ni pepo la ngono!, pepo ni spirit, kuna good spirits na bad spirits, good spirits zinakuamuru kutenda yaliyo mema na bad spirits zinakushawishi kutenda maovu!. Spirts zote mbili ziko ndani yetu!, hizo ndizo ninazoziita "powers from within!", "will powers" za kufanya kila kitu!. Watu wote tunazo ila wengine hawajui kuwa tunazo!.
Pasco
 

Aiiiiiisssseeeeeeeh.
 
Sasa kama unatongozea Buguruni au Corner bar huku pochi limejaa unategemea utawakosa?
 
Ukipata ukimwi pia uje utuambie!!! :flypig:
 
sasa mpaka hapo umeshaona kuwa una tatizo...dawa ya ishu yako hiyo ni KUACHA....tongoza tena mwingine ambaye labda utampenda kwa dhati na utulie naye...pia acha KUJICHEKESHACHEKESHA na KUJISHEMBENDUA mbele ya wadada km unavyodai kuwa unaweza kutongoza bila wewe mwenyewe kujua....ACHA, TULIA, UTAKUFA NA UKIMWI.....
 
Nipe namba yako ya simu na list yauliowala kuna ndugu yangu anabiashara ya majeneza nikuwekee oda kabisa.
Maana naona unafurahia
 
sasa sijui usaidiwaje, wengine hata kidogo hawawezi.....
 


Well said mkuu.
 
Hebu ni shauri kwanza mimi kwani kila dili la fedha nikilipanga ninafanikiwa na kupata mihela kibao, na kila nikilima shamba mazao yanastawi sana bwana masopakyindi ninaomba ushauri kwako tu (sio wana jf wengine) nifanyeje niepukane na tatizo hili?
At least hilo si tatizo , ni mafanikio
Langu nalichukulia kuwa tatizo na silipendi sana.
Tuache utani.
 
Ushauri mzuri mkuu.
Watu humu wanafanya utani, wanafikiri haya matatizo hayapo duniani.
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri.
Ajabu ni kwamba vyote hivyo nimefanya , tena kwa mafanikio mazuri tu.
Kama ni kusali nasali sana.

Pengine nijaribu huo ushauri wa kublock thoughts za mademu, ila kumbuka tatizo langu la nyumbani kama nilivyoelezea.
 
usijone una bahati ndugu kwa kukubaliwa na kila unayemtongoza kwa navojua kukataliwa na mwanamke sio common thing endapo ww umeinvest nguvu zako kwenye upuuzi huo tena ushasema mfuko uko vzur hii inaonyesha ni vp unathamini uchi. you have nothing special to them ila tu ww ni mtumwa wa ngono na hlo latkuharbia na kukufungia milango mbinguni na dunian. UMENIUZ MKUU
 
Pole sana, bado hujajitambua, kulala na wanawake wengi siyo big deal isipokuwa you are cheap man....na baadaye itakusumbua sana ktk ndoa, achana na hiyo tabia ina madhara makubwa ambayo siwezi hata kuyataja, achana na ya ukimwi.
 
huwa unatumia kinga wakati unatongoza?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…