Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Status
Not open for further replies.
Usidhani ni sifa,utakuja jutia
 
Pengine wewe mkuu ndo una analysis nzuri kuliko wote.
Hili si tatizo langu tu , wapo wengi, its a psychological problem.

Chanzo chake ni mke wangu, ni mzuri sana kupindukia.
Tatizo lilianza nilipogundua kuna jamaa ana kula kisiri.

Baada ya valangati ku cool sikumfukuza mke wangu, ila hili tatizo ndo liaanza kujitokeza.

Jamani tuwe wakweli nafsini mwetu tatizo hili lipo.
 
We unatakaje sasa? Ukitongoza ukataliwe?, kama hutaki wanawake usiwatongoze.

If you dont want the genie to come out dont rub the lamp.
 
Jamaa kwa kutongoza mademu yule......teh teh teh teh sifa za kijinga
 
Kwanza pole,pili nikupe moyo kwamba matumaini yapo kwani chanzo cha tatizo lako unakijua na pia una nia ya kubadilika.

Ushauri uliopewa wa kuombewa ama kulikabidhi tatizo lako kwa Mungu ni wa kuzingatia.
 
Jitongoze, kama ukijipata ntaamini wew noma

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hebu ni shauri kwanza mimi kwani kila dili la fedha nikilipanga ninafanikiwa na kupata mihela kibao, na kila nikilima shamba mazao yanastawi sana bwana masopakyindi ninaomba ushauri kwako tu (sio wana jf wengine) nifanyeje niepukane na tatizo hili?
 
Mkuu Maso, hilo sio tatizo, hizo ni nguvu zilizo ndani yako zinaitwa "psychic powers", nenda kanisome hapa, [h=3]sychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...[/h]
Hebu nitazame mimi mwenzio enzi hizo..
mimi nina


Hivyo matumizi ya nguvu hizi kwa kutongozea tuu ni abuse of powers, shift concentration, zitumie kufanyia mambo makubwa zaidi!, wish kupata kazi nzuri, kulipwa top salary, kujenga bonge la nyumba, kuoa bonge la demu, kuendesha bonge la gari, kuishi top life!, kufanya mambo makubwa kusaidia jamii etc!.
Pasco.
 
Nimejifunza kitu kimoja...!!!
Usifanye utani na hisia za mwanamke, usijaribu hata siku moja... baadhi yao wapo lonely sana, ukijaribu tu haichukui sekunde, baadhi yao ni maplayer, ukigusa tu hata huulizwi, baadhi yao wapo after marriage, ukisema tu utamuoa, utaitwa hubby!!!!!

Usifanye huo mchezo, nakwambia tena acha kutongoza ovyo, hata ku flirt wengine hawajui....
 
Kaa bila kutongoza uone kama utapungukiwa na kitu.
 
Ngoja utongoze jini la kike huo mgegedo wako usagwe na k.....ya jini km mua ktk mashine ya kukamulia juisi ya muwa
 

Pasco hilo ni Pepo. did u ever thought about that?
 
Last edited by a moderator:

Dah..! ya leo kali masopakyindi, au wanazimika na hilo jicho na maskio..!? (just joking)
 
Last edited by a moderator:
Ndugu nataka kukushauri tofauti na wengine, Mimi siliiti hilo kuwa ni tatizo, kama ulivyo sema kuwa unauwezo wa hali ya juu katika ushawishi ( convincing power). Shida ni kuwa unatumia uwezo ulionao katika njia isiyo sahihi. Kwa mfano jaribu kutumia uwezo huo katika biashara kwa kufanya marketing bidhaa fulani, au ni bora ukamtumikia Mungu kisha kutumia nguvu hiyo ya kushawishi ili kuvuta watu wengi kwa Mungu.
 

wanawake siku hizi ni so easy.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…