Nishauri ninunue Gari ipi kwa budget ya M 6

Nishauri ninunue Gari ipi kwa budget ya M 6

Nadia
IMG-20190214-WA0009.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vp wazee wenzangu, kwa mwenye ujuzi zaidi wa gari ndogo ndogo but classic ninunue mchuma upi kwa budget ya Million 6. Maana niliandaa pesa nikatoe mahali nioe Mwakani ila naona Mtoto wa kike pasua kichwa bora ni top up mkwanja nivute mkoko nile maisha kwa umakini kuliko kuuliwa na Mapenzi.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikuuzie kirikuu Mitsubishi imesimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vp wazee wenzangu, kwa mwenye ujuzi zaidi wa gari ndogo ndogo but classic ninunue mchuma upi kwa budget ya Million 6. Maana niliandaa pesa nikatoe mahali nioe Mwakani ila naona Mtoto wa kike pasua kichwa bora ni top up mkwanja nivute mkoko nile maisha kwa umakini kuliko kuuliwa na Mapenzi.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah
 
acha kujifanya mama terry...alokwambia hajawekeza ni nani..??hivi uwa mnadhani wana jf wote ni watafuta kazi au sio!!?
Punch ya maana hii....tatizo la watanzania ujuaji mwingi sana,mwenzao kaomba ushauri anunue gari gani yeye anakuja na hoja ya uwekezaji,kwani mtoa mada si anajua kama kuna kuwekeza,angehitaji angeomba ushauri awekeze kwenye nini....
 
Back
Top Bottom