Sawa naendelea kujipa mdaPole mkuu
Hivyo unavyojisikia wakati huu ndivyo binadamu wa kawaida aliyefiwa,hasa na mtu wa karibu anatakiwa kuwa
Jipe muda huku ukiendelea kusali....utakuwa sawa
Mm sio muumini wa usasa na ulegelege. Hio sio asili yetu. Ukiwa baba wa famili, ukatokea msiba kama baba unatakiwa uwe imara maana kila mtu anakuangalia wewe. Hio ndio asili yetu. Nawachukia wanaume wanaolialia.Hata mie hapo kwenye kukaza roho napingana na wewe
Mwanaume kama viumbe wengine wana haki ya kuumia wakiumizwa na kuonesha maumivu yao ikibidi ili kupatiwa msaada(faraja)
Sawa, pole sanaPole buda. Ila uanaume wetu upo pabaya sasa. Mm huwa sipendi kabisa kuona mwanaume anaumia hadharani kwa mawazo mawazo, hii sio sifa yetu wanaume. Mwanaume ni mhimili, likitokea jambo hata kama litakuumiza kiasi gani unalibeba kama mwanaume unasonga mbele. Kuna muda huwa najiuliza hivi hawa wanaume wanaoshindwa kuzibeba hisia zao huwa wanakua wanaume kweli? Kwahio mkuu unataka watoto wa kike waje waku console ama!
Siongei ongei tu huwa inanikera for sure. USHUDA KUNIHUSU: Tarehe 08.01.23 nilimpoteza mama mzazi. Hali yake ilibaridika jioni ya tarehe 07.01.23 hivyo niipigiwa simu kwamba ikiwezekana nisafiri maana mm nipo mkoani na home bi dar kigamboni. Usiku nilimambia mjomba (alikuja likizo ya December) kesho asubuhi sana tunaenda home hivyo tukaanza kuandaa vinguo vya kubadir tukiwa huko.
Niliamka saa 10 alfajiri nikamshtua mjomba ajiandae twende. Saa 10.15 nikapigiwa simu mama hatupo nae, sikumwambia anko maana ni mdogo. Nilichokifanya nilijiinamia kama dk 10 hivi nilipoinuka nipiga sim home nikawala maelekezo ya kufanya, huwezi amini simu ile ilionya nyoyo za dada zangu wote maana muda huo walikua hawajui cha kufanya.
Nilisafiri baada ya kumpumzisha mama kwenye stori na shemeji yangu ndio akafunguka. Akaniambia "mwamu una roho ngumu sana. Ile siku umetokea msiba wote hatukua tunajua tuanzeje, simu yako ilileta faraja na matumaini makubwa kwa kila mtu" nikamwambia mwamu mm huwa nachukulia kila jambo ni kawaida tu hivyo nalikabili kirahisirahisi tu.
Wakati namaliza chuo nilijiapiza sitaoa hadi nimjengee mama nyumba japo ndogo na niongeze elimu. Kweli nilifanikiwa kumjengea mama na nikaongeza elimu, bahati mbaya mama kaondoka kabla ya ushudia nikioa. Unaweza kuona jinzi inavyoumiza ila hata siku moja huwa siioneshi kirahisi kwamba inaniumiza. Wanaume tumeumbiwa kubeba na kusonga mbele.
KIJANA KUA SASA
Kuna jirani yangu alifiwa na mtoto wake. Mama mtu alikua analia sana ila mwanaume alikua imara sana. Alifanya kila kitu kinachomuhusu, jamaa alikuja kutoa machozi mud wa mwili unaweka kwa gari usafiriswe kwend moshi. Hio ndio asili yetuHata mie hapo kwenye kukaza roho napingana na wewe
Mwanaume kama viumbe wengine wana haki ya kuumia wakiumizwa na kuonesha maumivu yao ikibidi ili kupatiwa msaada(faraja)
Mie napenda mtu anayeonesha hisia zakeMm sio muumini wa usasa na ulegelege. Hio sio asili yetu. Ukiwa baba wa famili, ukatokea msiba kama baba unatakiwa uwe imara maana kila mtu anakuangalia wewe. Hio ndio asili yetu. Nawachukia wanaume wanaolialia.
Hakuna mahali nimesema natafuta mwanamkeKwaio unatafuta mwanamke??
Na pia kwanini ulikua una date na mwanamke mmoja tu ??
Asante. Ila nakushauri kuwa imara mkuu. Wewe ni mwanaume, kuwa mwanaume ina maana kubwa sana. Kuna siku utakuwa na familia mke na watoto watakuangalia wewe kama tumaini lao. Wewe ukionesha kuumia na jambo wao ndio kwisha kabisa, ila wewe ukionekana kuwa imara na wao wanaponaSawa, pole sana
Ni kweli mkuu nakubaliana na wewe 100%. Ila kuwa mwanaume kuna maana kubwa sana. Ukiwa baba wa familia likitokea tatizo mke na watoto wanakuangalia wewe zaidi. Mwanaume ukionesha kuumizwa sana wao ndio wanakufa kabisa, ula ukiaa imara utawapa faraja na watapoana upesi sana.Mie napenda mtu anayeonesha hisia zake
Hata kiafya ni nzuri