Kwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail
Kwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.
Ila best of the best itakua Rav 4 hapo itakua imegusa kila angle la mahitaji yako na itaweza kukaa na ww ata 10 years ukiifanyia basic service.
CX-5 kwa budget ya 35 Mil utapata ata 2nd gen ila itakua Diesel. Ni nzuri na reliable ila ina masharti mengi sana kwa first car owner naona sio decision nzuri. Ila kama kipendacho roho unaweza ishi nayo, ila not recommended.
Outlander na mdogo wake RVR wako vema pia ila utakwama kidogo kwenye mafundi na spare na body parts, kidogo bado challenge ila nazo ukizifsnyia service zipo vizuri.
Nissan bwana ana maeneo yake ila nahisi mafundi wetu wanaikosea sana transmission ya CVT. Iko sensitive sana na ndio maana zikifka bongo after 2 years zinaanza kusumbua.
Kuhusu Subaru, XT nashauri uachane na Turbo ishi na base model kwa misele ya mjini ina performance nzuri shahidi mzuri PureView zeiss atasaidia.
Kwa machaguo yao me nashauri hivi:
1. Rav 4
2. Forester
3. Outlander
4. Nissan
5. CX5
Nyongeza:
6. Harrier
7…
Anza na Hummer ama Jeep WranglerHii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.
BAJETI
Isizidi 35M
MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza
MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail
Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)
Nawazilisha kwa maoni
Achana kabisa na kitu kinaitwa Nissan.Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.
BAJETI
Isizidi 35M
MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza
MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail
Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)
Nawazilisha kwa maoni
Thanx kwa maoni muruaKwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.
Ila best of the best itakua Rav 4 hapo itakua imegusa kila angle la mahitaji yako na itaweza kukaa na ww ata 10 years ukiifanyia basic service.
CX-5 kwa budget ya 35 Mil utapata ata 2nd gen ila itakua Diesel. Ni nzuri na reliable ila ina masharti mengi sana kwa first car owner naona sio decision nzuri. Ila kama kipendacho roho unaweza ishi nayo, ila not recommended.
Outlander na mdogo wake RVR wako vema pia ila utakwama kidogo kwenye mafundi na spare na body parts, kidogo bado challenge ila nazo ukizifsnyia service zipo vizuri.
Nissan bwana ana maeneo yake ila nahisi mafundi wetu wanaikosea sana transmission ya CVT. Iko sensitive sana na ndio maana zikifka bongo after 2 years zinaanza kusumbua.
Kuhusu Subaru, XT nashauri uachane na Turbo ishi na base model kwa misele ya mjini ina performance nzuri shahidi mzuri PureView zeiss atasaidia.
Kwa machaguo yao me nashauri hivi:
1. Rav 4
2. Forester
3. Outlander
4. Nissan
5. CX5
Nyongeza:
6. Harrier
7…
Mkuu umempa elimu kubwa Sana kwasababu kama ni gari ya Kwanza kumiliki ni Bora aende kwenye Toyota Tu..... Subaru forester XT inahitaji uangalizi wa Hali juu Sana hata Subaru forester non turbo inahitaji umakini pia kwasababu hizi gari ni very sensitive kwenye oil, filter pamoja na petrol stationKwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.
Ila best of the best itakua Rav 4 hapo itakua imegusa kila angle la mahitaji yako na itaweza kukaa na ww ata 10 years ukiifanyia basic service.
CX-5 kwa budget ya 35 Mil utapata ata 2nd gen ila itakua Diesel. Ni nzuri na reliable ila ina masharti mengi sana kwa first car owner naona sio decision nzuri. Ila kama kipendacho roho unaweza ishi nayo, ila not recommended.
Outlander na mdogo wake RVR wako vema pia ila utakwama kidogo kwenye mafundi na spare na body parts, kidogo bado challenge ila nazo ukizifsnyia service zipo vizuri.
Nissan bwana ana maeneo yake ila nahisi mafundi wetu wanaikosea sana transmission ya CVT. Iko sensitive sana na ndio maana zikifka bongo after 2 years zinaanza kusumbua.
Kuhusu Subaru, XT nashauri uachane na Turbo ishi na base model kwa misele ya mjini ina performance nzuri shahidi mzuri PureView zeiss atasaidia.
Kwa machaguo yao me nashauri hivi:
1. Rav 4
2. Forester
3. Outlander
4. Nissan
5. CX5
Nyongeza:
6. Harrier
7…
Mazada Cx-5 Umbo lake unyama sanaAchana kabisa na kitu kinaitwa Nissan.
Mazda nzuri sana Ila pata ya kuanzia 2015 na zingatia mafuta safi
Nahisi ni 3Gen ndizo zinafanana na vanguard hata Mimi ukiniambia nichague Kati ya vanguard na hiyo rav 4 nitaingia kwenye rav4Thanx kwa maoni murua
Maswali ya ziada
Hivi hizi Rav4 3r Gen si ndio zipo pacha na Vanguard?
Ndio upo sahihi mkuu. Rav 4 iyo gen ya tatu ni Vanguard. Kwa lugha nyepesi Vanguard ni Rav 4 ilioongezeka urefu.Thanx kwa maoni murua
Maswali ya ziada
Hivi hizi Rav4 3r Gen si ndio zipo pacha na Vanguard?
Uyo Diesel ndio ana matatizo. Ana engine yake inaitwa SkyActiv D iko very sensitive kwa oil (engine oil) na mafuta (yawe na Sulphur ndogo sana), ukizingua ivyo plus short trips za mjini (kama Dodoma alivyosema mtoa mada) tegemea:Mazada Cx-5 Umbo lake unyama sana
Hapo kwenye mafuta unamaanisha petrol/deasel ? Au oil?
Maana filling station zetu ndio hizi hizi tu
Kwanza kabla ya yote hujasema una uzoefu wa kiasi gani kwenye kuendesha gari.Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.
BAJETI
Isizidi 35M
MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza
MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail
Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)
Nawazilisha kwa maoni
Kwa sababu ipi mkuu?maana zinafananaNahisi ni 3Gen ndizo zinafanana na vanguard hata Mimi ukiniambia nichague Kati ya vanguard na hiyo rav 4 nitaingia kwenye rav4
Mkuu niulize swali moja kwa ajili ya kujifunza.Kwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.
Ila best of the best itakua Rav 4 hapo itakua imegusa kila angle la mahitaji yako na itaweza kukaa na ww ata 10 years ukiifanyia basic service.
CX-5 kwa budget ya 35 Mil utapata ata 2nd gen ila itakua Diesel. Ni nzuri na reliable ila ina masharti mengi sana kwa first car owner naona sio decision nzuri. Ila kama kipendacho roho unaweza ishi nayo, ila not recommended.
Outlander na mdogo wake RVR wako vema pia ila utakwama kidogo kwenye mafundi na spare na body parts, kidogo bado challenge ila nazo ukizifsnyia service zipo vizuri.
Nissan bwana ana maeneo yake ila nahisi mafundi wetu wanaikosea sana transmission ya CVT. Iko sensitive sana na ndio maana zikifka bongo after 2 years zinaanza kusumbua.
Kuhusu Subaru, XT nashauri uachane na Turbo ishi na base model kwa misele ya mjini ina performance nzuri shahidi mzuri PureView zeiss atasaidia.
Kwa machaguo yao me nashauri hivi:
1. Rav 4
2. Forester
3. Outlander
4. Nissan
5. CX5
Nyongeza:
6. Harrier
7…
RAV4 ni much better than vanguard.Kwa sababu ipi mkuu?maana zinafanana