Nishakuwa kipusa!

Nishakuwa kipusa!

watu wanamegana kiholela hadi shetani analia? yaaani mke wa mjomba wako unathubutu?..na huyo mama alikosa mtu kabisa hadi anatembea na mpwa wa mume?
hivi mliona utamu kabisaaa?

Shetani akiisha muingia mtu hapo kwenye red weka tiki kubwa, na ndio maana anasema amekuwa akiendelea hadi house girl akajua na kumueleza sio vizuri, na kama angelikuwa na majuto ya dhati asingekuja kueleza upuuzi wake huo kwenye public kama alivyofanya hapo.

Kama anasoma hizi comment alizopewa humu nadhani anashangaa, kuona ni kwa jinsi gani ziko very negative kwa upande wake jambo ambalo huwenda hakulitegemea.
Fadhira mfadhiri mbuzi, binadamu duh------------
 
Wewe kijana ni mjinga sana, nimeamini jina wakati mwingine linasadifu tabia/uwezo wa mtu kiakili!
 
kweli sio kila mtu wa kukaribisha nyumbani kwako.mengine mapepo
Shetani akiisha muingia mtu hapo kwenye red weka tiki kubwa, na ndio maana anasema amekuwa akiendelea hadi house girl akajua na kumueleza sio vizuri, na kama angelikuwa na majuto ya dhati asingekuja kueleza upuuzi wake huo kwenye public kama alivyofanya hapo.

Kama anasoma hizi comment alizopewa humu nadhani anashangaa, kuona ni kwa jinsi gani ziko very negative kwa upande wake jambo ambalo huwenda hakulitegemea.
Fadhira mfadhiri mbuzi, binadamu duh------------
 
nakushaur achana nae huyo aunt wko lkn mlie mingo huyo bek3 na hakikisha unakula ili sir iwepo. Ulichokifanya co ktendo cha kiungwana, kumbuka ''mbwa haibi kwao'' na airport ni sehemu y kupaheshimu. Uciharibu sehemu y kufikia
 
Wanajamvi kwa mfano nikimwambia aunt kuhusu sms ya dada huyu binti si atarudishwa kwao na mambo yatakuwa poa? Pia uncle si hajamuo aunt so sikama mademu wengine wa kitaa tuu!
Lucas si unaona alivyo na akili za ajabu, yeye amefanya makosa na hana kazi halafu anataka amuharibie
mwenzake kazi.

Subiri uje udundwe, unaiba mali ya mtu halafu unaishi hapohapo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hii kitu hii, hii kitu hii ilimnyongolesha mamson,
Kijana ukibebwa jishikie usingoje wakuachie aliyekubeba akigundua..... Itakuwa ni balaa. Acha kabisa japo haimaanishi utafutwa fact ya kulala na mali ya uncle wako
 
hii kitu hii, hii kitu hii ilimnyongolesha samson,
Kijana ukibebwa jishikie usingoje wakuachie aliyekubeba akigundua..... Itakuwa ni balaa. Acha kabisa japo haimaanishi utafutwa fact ya kulala na mali ya uncle wako
 
Unadhani huyu alikumbuka salama?
Saa ngapi wakati wamebembelezana tu wakajikuta washamaliza?

chukuchuku ndo aje? nipe siri maana naona mfadhaiko nilionao nitaanza na mimi kubaka majirani
 
Kongosho twende pole pole, angalia kwanza
uncle ana mke yuko kijijini toka mweze wa tatu
ni juzi tu hapo
tena soma hapa "............
Utata ulianzia pasaka ambapo uncle alipiga cm kuwa mimi na aunt tukale bata popote ameturuhusu..........."
je hauoni hapo pana baraka zote za mjomba?????

Leo nimekunyooshea mikono na kukubariki Mamndenyi....ukipenda, waweza kujiunga na "the 1947 Club"...lol!!

Hakuna kesi hapa wala nini...jamaa anatumiwa tu...Mjomba mtu kapata mahali pa kupack gari lake ili aweke mambo ya ndoa yake sawa....

Basically na ndiyo asili yetu, hakuna mwanaume anayeweza kumpa mtu mke amshikie hata kwa sekunde...Ila huyo Tope alipewa na kuruhusiwa kufanya lolote apendalo..

Case dismissed,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani aunt yako kulia tu, ukamshika hadi akamaliza?? Alimaliza kulia? au sijaelewa maana nina evil mind all the time

Aisee, mahusiano ya jinsia moja sio taboo tena, itabidi yaruhusiwe kujadiliwa tu.

Unatamani kufa kwa kubambwa na hg au utamu?

Anataman kufa kwa UTAMU WA ANTI
 
Kongosho twende pole pole, angalia kwanza
uncle ana mke yuko kijijini toka mweze wa tatu
ni juzi tu hapo
tena soma hapa "............
Utata ulianzia pasaka ambapo uncle alipiga cm kuwa mimi na aunt tukale bata popote ameturuhusu..........."
je hauoni hapo pana baraka zote za mjomba?????
Naona sasa unazdi kmpotosha hyo kijana!
 
Last edited by a moderator:
Aisee acha acha kabisa,kijiji kinakuita ww
 
Umukule tena na tena! Alafu mbona unakuwa lofa? Kazi hujaona uliyotafutiwa na uncle? Ndo kumsugua shangaz so wewe endelea taratiiibu usiogope!
 
Topeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee;:wink:
ulichora "Zombie" wangapi kwenye mitihani yako ya mwisho??!
 
watu wanamegana kiholela hadi shetani analia? yaaani mke wa mjomba wako unathubutu?..na huyo mama alikosa mtu kabisa hadi anatembea na mpwa wa mume?
hivi mliona utamu kabisaaa?

utamu wa k haungalii k ni ya shangazi au nani....wacha kijana ampe aunt mambo
 
Back
Top Bottom