HahahahahahaaaaaaaaYaani aunt yako kulia tu, ukamshika hadi akamaliza?? Alimaliza kulia? au sijaelewa maana nina evil mind all the time
Aisee, mahusiano ya jinsia moja sio taboo tena, itabidi yaruhusiwe kujadiliwa tu.
Unatamani kufa kwa kubambwa na hg au utamu?
Ahenaho masumule doho.Kadama duhu
Munhu ung'wenuyu gete?
Kongosho twende pole pole, angalia kwanza
uncle ana mke yuko kijijini toka mweze wa tatu
ni juzi tu hapo
tena soma hapa "............
Utata ulianzia pasaka ambapo uncle alipiga cm kuwa mimi na aunt tukale bata popote ameturuhusu..........."
je hauoni hapo pana baraka zote za mjomba?????
Au anko kamwozesha mpwa wake kijanja??
inaonyesha watakuwa wanaendelea kula wote
hasa atakaporudi bibie kutoka huko alikokwenda.
Habari wa na jf? Wanajamvi hali ya maisha yangu kwa sasa imekuwa tete. Tangu dec 2012 nipo jijini kwa uncle tumbo moja na mama kwa minajili ya kumsaidia katika shughuli zake za biashara na kusubiri kama nitapata ajira ya kueleweka popote pale. Uncle ana aunt tunayeishi nae japo hajamuoa na ukweli ni kwamba uncle anaye mke wa ndoa na yupo mkoani ambapo yupo huko tangu tar 28 march.Utata ulianzia pasaka ambapo uncle alipiga cm kuwa mimi na aunt tukale bata popote ameturuhusu. Kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya tuliamua kwenda bar jirani japo hatukukaa sana tukarudi home kama saa mbili tukiwa wazima. Aunt alinambia anamazungumzo na mimi tukawa tumekaa tunazungumza akawa anamsema vibaya uncle kuwa ni malaya mpaka akawa analia nikajitahidi kumbembeleza mpaka nikajikuta namkumbatia na kumshika shika mpaka mwisho tuka maliza na tukaingia chumbani kwake mpaka asbh sasa imekuwa kila siku nalala nae jana dada wa kazi karudi kutoka kwao Tanga usiku kaniona nimeingia leo kanitumia sms kanambia sio vizuri. Natamani kufa
Wanajamvi kwa mfano nikimwambia aunt kuhusu sms ya dada huyu binti si atarudishwa kwao na mambo yatakuwa poa? Pia uncle si hajamuo aunt so sikama mademu wengine wa kitaa tuu!
hayo majitu ni tunayaita jibwa dume ,umesahau lile la kwangu nalisomesha nalipeleka shule likageuza nyumba guest nakumtia msichana wangu wa kazi mimba !!!!!!umesahau nyumba yangu anatia najisi hahahaahah acha tu napataga hasira namsubiritu yule dada ajifungue nimfungashie virago aondoke lol hasira sana hilo lingine linakula mke wa baba yake sawa na mama yake lol???Yaani mpaka dada wa kazi ameshangaa kitendo ambacho umekifanya jinsi kilivyo kibaya na cha kukosa utu na uungwana! Sijui binadamu mnawaza nini, mtu kakutoa kijijini huna mbele wala nyuma, unaletwa mjini na kutunzwa na mjomba wako. Leo wanawake wamejaa mjini unakwenda kujitumbukiza kutembea na huyo mke wa pili wa mjomba wako, huoni aibu? Huoni kinyaa? Na mbaya zaidi unaenda kutumia chumba chake hicho hicho cha mjomba tena na mshuka na mito yake na kwa mke wake mwenyewe, khaaaa! Huna huruma? Jamani binadamu tunaendea wapi??? Hivi akikukuta na kukuua au kukufanyia michezo ya ajabu utamlaumu nani?
Halafu unataka kujustify makosa kuwa eti ukweli mjomba wako ana mke mkoani, sasa wewe inakuhusu nini? Hiyo ndo justification ya kutembea na huyu aliyenaye sasa? Huoni umemvua nguo uncle wako? Halafu nimeshangaa tena unajiita KIPUSA kwa huu ufirauni? Mambo haya huwa yananikera sana.
Tafadhali Kongosho, mdogo wangu Nivea, Mr Rocky, snowhite, SnowBall, Eiyer, gfsonwin na waengineo njooni mnisaidie najisikia kumchapa viboko huyu dogo!!!
i realy dought about your personality mkuu mimi mada hizi siingiagi ni kwasababu tu nimeitwa na HorsePower form four umefeli unakuja leta ujinga wajko humu.alafu Baba V unathubutu kumpa like mtu ameandika huu upuuzi i realy dought about your personality tooWanajamvi kwa mfano nikimwambia aunt kuhusu sms ya dada huyu binti si atarudishwa kwao na mambo yatakuwa poa? Pia uncle si hajamuo aunt so sikama mademu wengine wa kitaa tuu!
Wanajamvi kwa mfano nikimwambia aunt kuhusu sms ya dada huyu binti si atarudishwa kwao na mambo yatakuwa poa? Pia uncle si hajamuo aunt so sikama mademu wengine wa kitaa tuu!
whaaat? yaani nivea na ujanja wako ulikuwa unalisha dume? hiyo ada si ungemlipia mtoto yoyote yatima upate thawabu kwa Mungu jamani? unachop chop money kwa dent wa kiume? duuh pole aisee!hayo majitu ni tunayaita jibwa dume ,umesahau lile la kwangu nalisomesha nalipeleka shule likageuza nyumba guest nakumtia msichana wangu wa kazi mimba !!!!!!umesahau nyumba yangu anatia najisi hahahaahah acha tu napataga hasira namsubiritu yule dada ajifungue nimfungashie virago aondoke lol hasira sana hilo lingine linakula mke wa baba yake sawa na mama yake lol???
kuelekea 2015 tutaona mengiHapo awali ulipojiita "kipusa" basi nilidhani wewe u mwanamke kijinsia, lakini kwa maneno yako haya hapa chini ndio nafumbuka macho na kujua wewe u mwanaume....
Ni hivi bwana mdogo, mshahara wa dhambi ni mauti...haijalishi unazini na mzinifu au mtakatifu
Yaani mpaka dada wa kazi ameshangaa kitendo ambacho umekifanya jinsi kilivyo kibaya na cha kukosa utu na uungwana! Sijui binadamu mnawaza nini, mtu kakutoa kijijini huna mbele wala nyuma, unaletwa mjini na kutunzwa na mjomba wako. Leo wanawake wamejaa mjini unakwenda kujitumbukiza kutembea na huyo mke wa pili wa mjomba wako, huoni aibu? Huoni kinyaa? Na mbaya zaidi unaenda kutumia chumba chake hicho hicho cha mjomba tena na mshuka na mito yake na kwa mke wake mwenyewe, khaaaa! Huna huruma? Jamani binadamu tunaendea wapi??? Hivi akikukuta na kukuua au kukufanyia michezo ya ajabu utamlaumu nani?
Halafu unataka kujustify makosa kuwa eti ukweli mjomba wako ana mke mkoani, sasa wewe inakuhusu nini? Hiyo ndo justification ya kutembea na huyu aliyenaye sasa? Huoni umemvua nguo uncle wako? Halafu nimeshangaa tena unajiita KIPUSA kwa huu ufirauni? Mambo haya huwa yananikera sana.
Tafadhali Kongosho, mdogo wangu Nivea, Mr Rocky, snowhite, SnowBall, Eiyer, gfsonwin na waengineo njooni mnisaidie najisikia kumchapa viboko huyu dogo!!!
teh na wewe utaunga tela muda si mrefu..nimekumisije my dear! hivi m zombi hakubembelezagi hadi mkamaliza?Bora waungane kwa pamoja
maana wameshakuwa wanne, na hg kajiunga
mmmhh hii thread ina upako naona hadi watu wananena tu hapaAhenaho masumule doho.
teh na wewe utaunga tela muda si mrefu..nimekumisije my dear! hivi m zombi hakubembelezagi hadi mkamaliza?